Vilivyo chosha kuvisikia 2013...

Vilivyo chosha kuvisikia 2013...

mi staki hiyo bana, ntaftie yenye sura nzuri hata nikiiangalia natamani kuirambaaaa!

Hii vipi?

germansausages_bockwurst.jpg
 
Nimechoshwa na thread na comments za kukashifu wanawake MMU.
 
hahaha, mi namuonea huruma the boss, thread imeingia virusi. jamani moderators mpo wapi mje mfute comments zetu!!!!

hahahaaaa nimechoshwa na Husninyo kuchakachua thread za watu(Ngoja nirudi kwenye mada hapo)
 
Nimechoka kusikia 'tume imeundwa juu ya jambo hili'..nimechoka kusikia neno 'uchunguzi unaendelea' nimechoka..maana hizi kauli zinafuatiwaga na ukimya mrefuuuu na maswali yanakua mengi
 
Kina Nape na vijana wake aina ya msalani na faizafox waache hayo wanayoyaandika ila waje na hoja zenye manufaa kwa taifa letu bila kujali itikadi za chama au dini
 
-nimechoshwa na muungano.mambo gani ya kumwagiana tindikali na kuchoma makanisa?!kama vipi tuongee na OBAMA tanganyika iwe jimbo moja wapo la USA

-Nimechoka na kura za "ndiooooooo".natamani ifike kipindi wabunge wawe wanabofya tu kitufe kupiga kura then majibu yana dispay kwenye screen. ukweli n uwazi.

-nimechoka kusikia "kinana na tembo wetu"na tena siku hizi amekuwa swahiba wa wachina bas mh kazi ipo.

-nimechoka kusikia jina "bossylady".vibinti vidogo ambavyo havina shughuli ya maana ila vinamiliki mali za kutosha kisa sembe.nataman TRA na TAKUKURU wawachunguze mmoja mmoja tujue source ya income ili kama kulipa kodi walipe kiwango kinachostaili.

-nimechoka kumsikia rage na vikao vya harusi

-zaidi zaidi nimechoka kusikia neno PUNYETO. Tafadhali sana vijana mnaobalehe mjue humu kuna wakubwa zenu.sasa mnapotaja punyeto bila uwoga mnatukwaza.naomba mod aingize hili jina kwenye BLACKLIST kabisa na aanzishe JUKWAA LA WANAOBALEHE

-Nimechoshwa na story za kutunga hapa JF. Utasikia mara ohoo anamshika mke wangu kalio na mi nikamshika mkewe ziwa.akamlala mke wangu nae nikamlala wake akishuhudia. mods naomba muongeze jukwaa lingine la STORY ZA KUFIKIRIKA.
 
Back
Top Bottom