Vilivyo chosha kuvisikia 2013...

Vilivyo chosha kuvisikia 2013...

Nimechoka kuona Wangoni wanacheza ngoma ya mganda huku wamevaa kaptura na shati kama Wanafunzi au askari wa kikoloni lol!!:hand:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:😛eace:
Ahahahaha una bahati uko mbali
 
Diamond Penny na Wema nilichoka kuwasikia habari zao!!!!!

wanaume kuwaua wapenzi wao nadhan this year ilikuwa juu
hasa baada ya ishu ya Ufoo

Nimechoka kuumia juu yako. 2014 navunja ukimya (baada ya Discovery yangu kuingia bandarini).
 
Nimechoshwa na thread za vivulana kulia lia kila uchao....

Inaonekana vibinti viliwazidi "akili" vivulana mwaka huu
Sipendi kusikia tena hizi kelele mwakani

Nataka kusikia mabinti wakija hapa na kusema wamechoshwa na libeneke la nguvu

Sitaki kusikia binti kaja hapa na kusema haridhishwi!!!!!!!!
 
tawile baba paroko.
 
nimechoka kuchokozana na hamisi kishindindo aka Nyani Ngabu, . nimechoka kukimbia mbio mbio mpaka najikwaa kila nikiona thread ya the boss. teheeeeeeee!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimechoshwa na thread za vivulana kulia lia kila uchao....

Inaonekana vibinti viliwazidi "akili" vivulana mwaka huu
Sipendi kusikia tena hizi kelele mwakani

Nataka kusikia mabinti wakija hapa na kusema wamechoshwa na libeneke la nguvu

Sitaki kusikia binti kaja hapa na kusema haridhishwi!!!!!!!!
Huu mwaka mwishon mwishon umekuwa mbebs sana
Nimechoka kusikia kuwa hujaoa.do ze needful.najitolea kuwa mwanakamati
 
Nimechoka kusikia wanaume kuja na thread za kutaka mijimama ya kuwalea..

Bunge kukosa nidhamu...Bunge kuwa kama kijiwe cha soga
 
kwanza nimechoka kusikia mambo ya sembe maana wanaongeaga tu lakini hakuna vitendo na pia humu nimechoka na thread za watu wanaotafuta mara wake mara waume duh hebu watafuteni huko mitaani
 
Back
Top Bottom