Vilio kwa Tanesco vinazidi kuwa vingi kwakuwa tunakaa kimya, sasa umefika muda wa kuwafichua

Mm nilienda kulipia umeme ndio nikaona dada analalamika so niweke number ya mita nitapata wapi
Ndio michezo
Kwanini ununue mita? Mita haizwi mteja anapaswa kulipia kwa kufata taratibu na sisi tutamfungia mita.Tafadhali toa ushirikiano nasisi tutaweka taarifa kamili hapa ili kuonyesha ukweli wa malalamiko haya.
Ukiwekewa mita unanunua umeme wa karibia elfu 50 wanakata pesa.
 
Back
Top Bottom