Uzalendo Installer
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 5,362
- 8,836
Kuwe na system dunia ya leo ni technology ndio inafanya kaz...Kufika ofisini ni wazo jema lakini wengi tunaishi mbali na ofisi zenu.
Nawashauri muweke ofisi ndogo kila kata.
Hata hivyo ingefaa kila kijiji muwe na wakala au mwakilishi wenu hata kama hamkumuajiri.
Utaratibu wa sasa ni mgumu.
Mko mbali na wateja wenu.
Wakaribieni.
Igeni mifano ya benki.
1: una apply kupata umeme online..unapewa form unajaza
2: unapewa namba ya maombi yako na unaona wangap wametangulia.
3: siku moja kabla unapewa alert ya kutembelewa na surveyor..unapanga ratiba zako
Yaan mtiririko unakuwa hivyo...sio mfumo huu wa kushtukizana