Mkuu siwabezi Rwanda, watu wengi sana hutazama michezo, kama sisi nasi tungewekeza nguvu zetu katika kupromote utalii kupitia huko nadhani tungepiga hatua kubwa zaidiDah aisee sjui ulichokiandika unakielewa mwenyewe binafsi,
nimejaribu pengine ndo unachokiamaanisha, kwamba Rwanda hapaswi kujitangaza kwa sababu hawana vivutio?
Tanzania hatujitangazi kama Rwanda ili hali tuna vivutio ving nadhan ndo msingi mkubwa wa swali lako.
Kama ndo msingi mkubwa sioni kama una sababu za kuwa beza Rwanda kujitangaza, Nchi kama Nchi ina vivutio vyake na ina utaratbu wake wakujitangaza.
Kama ilivo Tanzania pia ina platform ya kutangaza vivutio vyake, pengne wewe unataka Tanzania ifanye kama inavofanya Rwanda?
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
MkuuSi nasikia pia Rwanda wameanza kuassemble simu zao!!..ukijiuliza Sana hayo Mambo mkuu utapatwa ulcers bure! Wewe fanya kazi uongeze kipato chako Basi!
Kigangwala na usomi wake anawatumia wasanii uchwara kujitangaza...!Kuna mambo yanadhi Sana ukitaka kuitafakari nchi hii
Tukijitangaza zaidi tunaweza ku double idadi ya watalii wanaokuja nchini.Rwanda na matangazo yao yote hayo.. haijawai na haitawai kufikia idadi ya wageni inayopata Tanzania..
Rwanda hawana vivutio vya utalii lazima walazimishe watalii waje wengi kwao
Duu!Visit Tanzania!View attachment 1497285
TANZANIA tunao zaidi mkuuMkuu Rwanda wana golila ...na ndo trekking nzuri iko huko kuliko uganda
Mkuu siwabezi Rwanda, watu wengi sana hutazama michezo, kama sisi nasi tungewekeza nguvu zetu katika kupromote utalii kupitia huko nadhani tungepiga hatua kubwa zaidi
Hahhaah HHHAaahaahaaMkuu
Acha Uchochezi π
Mheshimiwa Kasema Tuzaliane Elimu Bure Pia Tukiwa Wengi Uchumi Unakuwa π€¨π
Tanzania, Kwasasa Tutaanza Kugawa Misaada π€π
Haa Maendeleo Hayana Chama
Kujitangaza Ilikuwa Mara Moja
π€©ππ
Google kidogo neno "marketing" ujue angalau faida zake itakusaidia...Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.
Sisi tunatumia kauli mbiu hiyo hapo juu. Hatuhitaji kujitangaza, watakuja tu.
Ukipata nafasi JITAHIDI kuwa mzalendo....Humu kuna thread ya nyuma sana kuhusu upigaji uliofanywa kipindi cha JK kuhusu kutangaza utalii kupitia Newcastle United.
Moja ya walioshiriki ni Juma Pinto, nadhani na Ikulu ilihusika pia kipindi hicho.
Na baadae alikuja akawa member wa board ya utalii.
Kwa hiyo utagundua kwamba tatizo letu ni upigaji.
Humu kuna thread ya nyuma sana kuhusu upigaji uliofanywa kipindi cha JK kuhusu kutangaza utalii kupitia Newcastle United.
Moja ya walioshiriki ni Juma Pinto, nadhani na Ikulu ilihusika pia kipindi hicho.
Na baadae alikuja akawa member wa board ya utalii.
Kwa hiyo utagundua kwamba tatizo letu ni upigaji.