Vile pandikizi ameanza kufuatisha nyayo za boss wake aliempandikiza huko Zanzibar!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,407
Ni vyema angejificha kuwa yeye siyo pandikizi la Tanganyika
6057716.jpg
6057716398.jpg
 
Ana create fear ili walioko chini yake wasilete za kuleta kwa kuhofia kupoteza vyeo. Kisha itakuwa mwendo mdondo kama huku.
Uko sahihi, lakini kingine ni mbinu ya kumu win JPM ili amwamini na amfanye mrithi wake hapo 2025.

Si unajua itakuwa ni zamu ya upande ule wa pili?(Ingawa haitambuliki kikatiba)
 
Sionii tatizo kuiga mazuri ya wengine.

Hapo mnazi mmoja wanaopajua watasema afadhali walivyotumbuliwa ikiwa tu imethibitika kuwa HAO WALIOTOLEWA NDIO SABABU YA UJINGA UNAOFANYIKA PALE
Anaiga mazuri yapi?Unaweza kuthibitisha kuwa kutumbua watumishi wa umma ni jambo zuri?
 
Unaweza kuthibitisha kuwa kutumbua wafanyakazi wa umma huwa inaongeza productivity pamoja na ufanisi kazini?
Unataka usibitisho upi mkuu, inamaana we huoni, Kuna chama mwaka huu wa uchaguzi kimezungumzia maswala ya ethics na ufisadi kwenye kampeni zake
 
Unaweza kuthibitisha kuwa kutumbua wafanyakazi wa umma huwa inaongeza productivity pamoja na ufanisi kazini?
Mara nyingine sio kubish tu bila sababu kwhyo kama mtu anafanya upupu aachwe aendeleze huo umavi wake.... Bro sio kila kitu kupinga tuu mengine yanafanyika kwa wema tuu na usidhani amefanya tu bila kuwa na ushid ya upuuzi wa hao aliowatoa....
 
Back
Top Bottom