Vile pandikizi ameanza kufuatisha nyayo za boss wake aliempandikiza huko Zanzibar!

Unataka usibitisho upi mkuu, inamaana we huoni, Kuna chama mwaka huu wa uchaguzi kimezungumzia maswala ya ethics na ufisadi kwenye kampeni zake
Kwani nini chama kizungumzie ufisadi kila awamu,kwani hakuna agenda nyingine za maana?Unaelewa hakuna serekali ambayo imewahi kufanya ufisadi wa kutisha kama serekali ya Magufuli?Refer zile trillion 1.5 pamoja na ufisadi wa TZS billion zaidi ya 70 za COVID-19 kutoka EU.
109769009.jpg
 
Mara nyingine sio kubish tu bila sababu kwhyo kama mtu anafanya upupu aachwe aendeleze huo umavi wake.... Bro sio kila kitu kupinga tuu mengine yanafanyika kwa wema tuu na usidhani amefanya tu bila kuwa na ushid ya upuuzi wa hao aliowatoa....
Hapa tunajadili masuala kitaalam na wala siyo kupiga porojo,umbea na propaganda za maji taka.Nimeuliza ya kuwa unaweza kuthibitisha kuwa kutumbua huwa inaongeza ufanisi kazini pamoja na productivity za wafanyakazi?Hili ni swali la kisayansi ambalo linahitaji majibu ya kisayansi na wala siyo majibu ya porojo!
 
Kuna science gani hapo bro... Mtu kufukuzwa kazi nayo inakuwa ni science... Kama hata mfanyakazi wako wa ndani tuu hapiki au hafanyi kazi kwa ubora ukimfukuza na kumleta mwingine anayejua kazi si lazima ufanis wa kazi utaongezeka na ww kama bosi utakuwa happy na kazi nzuri....
U guys mko ndani ya cocoon u cant see outside...
 
Wafanyakazi wakishajua kuwa wakikosea wanafukuzwa huwa wanafanya kazi kwa hofu kwa sababu hawajui na hawana uhakika boss anataka effectiveness na efficiency ya kiwango gani.Ingekuwa wanajua boss anataka ufanisi wa kiwango gani wangefanya kazi kwa bidii ili kufikia kiwango hicho ili wawe salama.

Kwa sababu ni ngumu kupima effectiveness pamoja na efficiency basi wafanyakazi huwa hawapewi kiwango cha ufanisi wanachotakiwa kufikia ili wawe salama na matokeo yake wanafanya kazi kwa hofu kwa sababu hawajui boss anataka nini.Hofu huwa inapunguza efficiency pamoja na effectiveness ya kufanya kazi matokeo yake output inakuwa ndogo.Kwa kifupi ni kwamba utumbuaji huwa unapunguza performance ya kazi kwa wafanyakazi badala ya kuongeza performance.
 
Huu Mfumo Wa Kutisha Ni Wa Hovyo Sana
Mpaka Sasa Hivi Viongozi Wote Wakubwa Wanaogopa Kutenguliwa. Hii Dubwasha Litaisha Lini
 
Back
Top Bottom