Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,422
- Thread starter
- #21
Kwani nini chama kizungumzie ufisadi kila awamu,kwani hakuna agenda nyingine za maana?Unaelewa hakuna serekali ambayo imewahi kufanya ufisadi wa kutisha kama serekali ya Magufuli?Refer zile trillion 1.5 pamoja na ufisadi wa TZS billion zaidi ya 70 za COVID-19 kutoka EU.Unataka usibitisho upi mkuu, inamaana we huoni, Kuna chama mwaka huu wa uchaguzi kimezungumzia maswala ya ethics na ufisadi kwenye kampeni zake