Vile mashauzi yalivyoniumbua

Nilipokuwa Arusha Sec miaka ya nyuma usiku huo tulikuwa na disco na wasichana wa Machame sekondari. Basi ikapigwa nyimbo moja slow nikawa nimemganda binti mmoja mara nyimbo ikaisha.Suruali ikawa imevimba wenzake wakaona na kuanza kucheka na kunipa pole za kinafiki.Ukame niliokuwa nao unaweza kulinganisha na ukosefu wa maji ukiwa na kiu kali.Balehe isikie tu.
 
Kipindi nafundisha tehama kwenye technical school fulani ,najulikana kwa mbwembwe nikiwa nafundisha hasa kutokana na somo ninalofundisha lipo kwenye dam.
Siku hyo tulikuwa tunapima Voltages kwenye Power Supply Unity.
Kwa mbwembwe tukaifungua ile PSU nakumbuka ilikuwa ya HP Compaq 8200 Elite.
Kutia power hola,kumbe ina Short Circuit ambayo inapelekea Capacitor Kubwa Volts 400 zinabaki kama zilivyo hata kama ukiizima.
Kwa bahati mbaya nikagusa terminals za Capacitor asee nikapigwa short moja hatari,kumbe katika lile wenge nikaachia bonge la ushuzi.
Kwa AIBU nikaomba likizo, nikapewa ya wiki MBILI..
Siku narudi darasani kuendelea na kipindi kuwauliza wanafunzi,"tuliishia wapi"????
Kwa sauti ya shangwe wakajibu "Pale ULIPOJAMBA Mwalimu!!!!"..
Daahh kwa aibu nikaomba UAMISHO kabisa..
Nyoko zao wale wanafunzi....
 
Chai
 
Copied from somewhere but modified,
Excellent mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiranga chote kiliisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah Jah anisaidie kwa kweli, maana matukio yenyewe n mengi na bado yanaendelea kutokea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…