Vikao na viongozi wa Kiafrika huko Ulaya badala ya Wadau wa Maendeleo vya nini tena?

Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland , ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo , ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake .

Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini , Demokrasia ? mbona kwenu mnaisigina ?

Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi .

View attachment 1995179
Rais wa Zambia ni shida Sana nafasi Kama hizi anazitumia KWa wivu mkubwa sana
 
Katika kitu wapumbavu wa ccm huwa mnashangaza, kwamba mtu asiyeitaka ccm ni Chadema?

Pumbavu kabisa, mimi siyo mtumwa wa vyama, mimi ni independent citizen fala wewe.
Wewe ni nyumbu Tu huna lolote
 
Siwezi kuchukuwa, utapata vidonda vya tumbo na kisukari bure ukitaka kuangalia kila jambo in negative way.
Huyo anaitwa Pinga pinga FC kwake/kwao hakuna jema na la maana lililofanyika/linalofanyika....
 
Hii ndiyo Dodoma ijayo na bado haitazuia Vyama vya Siasa, Taasisi za umma na binafsi kufanyia vikao nje ya Dodoma.
 
Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland , ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo , ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake .

Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini , Demokrasia ? mbona kwenu mnaisigina ?

Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi .

View attachment 1995179
Madikiteita wa kike na kiume, takataka tpu if they can not do democracy to their people!
 
Endelea na misimamo yako....nasi tuendelee na yetu tu....
Ndiyo uwache kulialia basi
311130254.jpg
 
Katika kitu wapumbavu wa ccm huwa mnashangaza, kwamba mtu asiyeitaka ccm ni Chadema?

Pumbavu kabisa, mimi siyo mtumwa wa vyama, mimi ni independent citizen fala wewe.

safi sana..

watu huwa hawaelewi, kuichukia CCM hakinifanyi niwe CDM, na kutoipenda CDM hakunifanyi niwe CCM....
 
Mama akikutana na Kenyata basi wasipige hata story mbili tatu na kupiga picha ya kumbukumbu... Kila nchi ina protocal zake dhidi ya haya mambo...
 
Kiongozi yeyote anapopata upenyo wa kuhudhuria Mikutano muhimu kama unaoendelea huko Scotland , ni vema akatumia wasaa huo muhimu wa kukutana na Wadau wa Maendeleo , ili wasaidie Mkwamo wa Nchi yake .

Uko Ulaya halafu unapambana kukutana na Chakwera ambaye nchi yake imekongoroka unataka akusaidie nini , Demokrasia ? mbona kwenu mnaisigina ?

Safari za viongozi ni vema zikawa na tija basi .

View attachment 1995179
Labda anamkumbusha Chakwera utata ulioko ziwani kwenye mpaka kati ya Tanzania na Malawi wayajenge.
 
Back
Top Bottom