Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,562
Huo ni uchafu na kumtafutia mwenzako sababu ya kutapika.lol!
Mababa wote wenye tabia hii ni wachafu na wanyanyasaji, kisa cha kumnyanyasa partner akione chumba kama kituo cha polisi, Huyo wakutosafisha mwezi, ndio ukute linakunywa pombe mh hilo kojo lake linavyonuka si balaa hii, wanajutaje wake zao!
Hili ni kwa wote NATA hujawahi kuyakuta kwenye vyoo vyenu? i.e vile vya jinsia moja......Tabia ni tabia hata akiifanya Raisi haitageuka kuwa sio tabia.