Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 5,895
- 11,788
Kwa hapa Africa maeneo mengi yenye muonekano mzuri ni maeneo ya mijini. Hapo kwenye miji yetu kidogo utakuta kuna mitaa ya kishua, kuna town centre iliyokaa unyama, yani miji yetu huwa na baadhi ya mitaa mizuri at least, ingawa bado inasumbuliwa na slums pia
Sasa ukija kwenye vijiji vyetu, ni ngumu sana kukuta kijiji kina muonekano wa kuvutia. Utakuta nyumba za udongo, au nyumba nzuri zipo ila moja moja, umeme wa shida, barabara za hovyo, shule chache tena zinafelisha hatari, yani unakuta kijijini vitu vizuri ni vile natural tu kama milima, mito, ziwa nk
Lakini ukiangalia vijiji vingi nje ya Africa vilivyo ni tofauti sana na vijiji vyetu. Kuna watu wanapenda maisha ya utulivu ya kijijini ila wakifikiria vijiji vyetu vilivyo nyuma kimaendeleo wanalazimika kubaki mijini tu
Angalia mfano vijiji hivi, ambavyo vipo nje ya Africa halafu fananisha na 80% ya vijiji vya hapa Africa
Pia kama kuna kijiji chochote kizuri hapa Tanzania naomba mnitajie nijaribu kufuatilia. Maana nimekesha Google maps kila nikiangalia vijiji vyetu pale sehemu ya photos naona hali ni mbaya