Inamaana hawa wasanii vp?
kuna tofauti kubwa sana lakini kati ya mafanikio na mchango katika jamii,unaweza kuwa na mafanikio katika maisha yako lakini usiwe na mchango wowote katika jamii,hatulaimiana sana lakini ni mfumo wa ujamaa tulioanza nao ndio unatusumbua vichwani mwetu mpaka leo,maana ujamaa nikipata mafanikio mimi ni lazima nigawane na nyie,watu wote eti tuwe sawa,hata wavivu nao tuwe nao sawa..
kazana nawe utafanikiwa tu!Mimi pia ni mmjoa wao, sema labda tatizo ni hapo tu kwenye mafanikio!
nadhani muandaaji wa hii kitu alibase kwenye mafanikio binafsi ya wahusika zaidi sio mchango kwa jamii..ndio unamuona hata mtu kama mnyika hapo,kwani maechangia nini kwa jamii?
kuna tofauti kubwa sana lakini kati ya mafanikio na mchango katika jamii,unaweza kuwa na mafanikio katika maisha yako lakini usiwe na mchango wowote katika jamii,hatulaimiana sana lakini ni mfumo wa ujamaa tulioanza nao ndio unatusumbua vichwani mwetu mpaka leo,maana ujamaa nikipata mafanikio mimi ni lazima nigawane na nyie,watu wote eti tuwe sawa,hata wavivu nao tuwe nao sawa..
mafanikio ya hao yapo pande ipi kiitaaluma au fedha ama nyazfa zao:yawn: