KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
TANZANIA'S 15 MOST ELIGIBLE BACHELORS |
TANZANIA'S 15 MOST ELIGIBLE BACHELORS |
Sugu hamna? au ni mzee sasa?
Sasa miraji unamuweka hapo huo c uzuzu?yeye kama mtoto wa 1 wa rais ana mchango gani kwa jamii?nyambaf,
nadhani muandaaji wa hii kitu alibase kwenye mafanikio binafsi ya wahusika zaidi sio mchango kwa jamii..ndio unamuona hata mtu kama mnyika hapo,kwani maechangia nini kwa jamii?
Mange naona unajitahidi kutuletea listi zako huku, haya :hat::majani7:
Sugu hamna? au ni mzee sasa?
Kataja watu anaowafahamu na kwa tasfiri yake mwenyewe ya anayoyaita mafanikio. Kwasababu kwa tafsiri yangu mimi vijana waliofanikiwa Tanzania huwezi ukaniacha mimi Ezan. Nilipotoka na nilipo ni mbali sana, leo hii ninaweza kuingia JF na kuchangia mada bila kumuuliza mtu!!!! kweli watu tunatoka mbali.
Riz1 siyo bachala,Hujamtaja RI1, imechakachuliwa hiyo!!
hawa ni mabachala,RIZ1 ana mke.Hujamtaja RI1, imechakachuliwa hiyo!!
nadhani muandaaji wa hii kitu alibase kwenye mafanikio binafsi ya wahusika zaidi sio mchango kwa jamii..ndio unamuona hata mtu kama mnyika hapo,kwani maechangia nini kwa jamii?
hawa ni mabachala,RIZ1 ana mke.
Na hapo ndo kwenye shida ya vijana na watu wengi miongoni mwetu. Mtu kaiba mali anaendesha gari ya thamani na kuishi maisha ya kifahari basi anaitwa mtu mwenye mafanikio ktk jamii.
Angalieni mchango wa mtu kwenye kusaidia jamii kuondokana na matatizo. Akifanikiwa ktk hilo ndiyo useme huyu jamaa ndiye mtu mwenye mafanikio ktk jamii ya watanzania.
'Mitanzania ndivyo tulivyo'