Vijana watengeneza miguu ya wanawake waboresha huduma zao

Unataka tunyimwe pesa kama sio kukatazwa kabisa kwenda kuosha miguu wewe mwanadada?
 
mipaka yao ipo mpaka wap au wanamasajimpaka upaja wote na mm nianze hiyo kaz
 
nimefurahishwa sana na huduma ya hawa vijana wanaotutengeneza miguu kina dada.sasa hivi ukisafishwa mguu unapewa offer ya massage bure. hela zangu zitaishia saluni kusafisha miguu jamani 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Dih, sitaki hata kuwasikia!
 
nimefurahishwa sana na huduma ya hawa vijana wanaotutengeneza miguu kina dada.sasa hivi ukisafishwa mguu unapewa offer ya massage bure. hela zangu zitaishia saluni kusafisha miguu jamani 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
huduma kwa wateja sio mbaya iwapo mtu hana tatizo katika settings basi unamruhusu tu....love is trust always
 
Back
Top Bottom