Vijana wasiende jeshini....

Vijana wasiende jeshini....

Sasa inakuwaje mtu amalize elimu ya kidato cha sita kisha uanze kumfundisha tena yale yale, kama ni suala la computer course wengi wamesoma tangu elimu ya msingi mpaka sekondari, pia hizo communication skills wataenda kufundishwa chuoni huko.

Mnhhhhh …computer course mkuu sema ukweli,toka shule ya msingi?? 😳😳😳

Aise nimeona wahitimu wengi wa Kitanzania wakipitwa na waKenya kwenye Ajira..

Main reason ni English ama Computer skills

Hata vyuoni England Wakenya wako Favoured kwenye vyuo kupata admissions uki compare na waTanzania...

Magufuli angeweka mkazanio kwenye hivi vitu viwili
 
Mkuu wewe unawaza ajira peke yake, suala la kujiajiri kwako halipo kichwani na hauna muda wa kulisemea wala kulijadili.

Hivi kwako miezi mi3 wanayoenda kufundishwa ukakamavu na mbinu za medani kwako ni upuuzi?

Miezi mi3 mbona ni muda mfupi sana usioathiri future yoyote ya mtu?

Kusanyiko la kitaifa wanalolipata hao vijana, kuna kitu wana gain, kuliko wewe uliyebweteka nyuma ya keyboard unakula tu shushi.

hahaaa kipi kizuri miezi mitatu ya kupasuliwa matofali kwenye vichwa na miezi mitatu ya kusoma English ama Computer course?..i cant believe this...😳

Ukakamavu ingia GYM mkuu

Kujiajiri sawa mkuu,labda nimefikiria upande,ila wangapi waliotoka Jeshini wakajiajiri..?mnhhh
 
Jeshi Ni muhimu kupitia usilete usister duu apa,na usharobaro
 
Mnhhhhh …computer course mkuu sema ukweli,toka shule ya msingi?? 😳😳😳

Aise nimeona wahitimu wengi wa Kitanzania wakipitwa na waKenya kwenye Ajira..

Main reason ni English ama Computer skills

Hata vyuoni England Wakenya wako Favoured kwenye vyuo kupata admissions uki compare na waTanzania...

Magufuli angeweka mkazanio kwenye hivi vitu viwili
...hata jkt computer mbona zipo na wanafundishwa...watu wana be trained according to malengo...ungesema huko jkt waongeze masomo including hapo unayotaka ingekuwa poa sana...jkt ina train watu nt only mapigano na ujasiliamal bt also activeness ya mtu....
 
Haiwezekani

Wanajeshi ni wachache sana, mbinu za kivita hazijawahi kubadilika kinachobadilika ni intelligence.
Zamani za kale hizooo kulikuwa na snipers hadi sasa wapo n.k n.k

Hapa ungeuliza kabla ya kuandika nilikutajia hadi nchi ambayo tumetohoa mfumo wao.
.
Israel kila mwananchi lazima apitie jeshini ni lazima na atakuwa mwanajeshi wa akiba kama asipotaka kuendelea na jeshi kwa robo tatu ya maisha yake yani hili sio ombi.

1. Inawezekana tena sana tuu..jeshi ni kazi kama kazi nyingine

2. Toa mshahara mzuri,utawapata watu wanaotaka kuwa wanajeshi,sio kwa vile ni wanajeshi ni wachache then wananchi tuwe na sisi wanajeshi….

3.Again,kiukweli sijawahi kusikia wananchi wakiwa trained ready for war...na sisi tumetohoa huko huko bila kuangalia kama lina manufaa…???...mbinu za kivita zimebadilika ndugu, angalia hata ndege za kivita zimekua more sophisticated..na hata intelligence I believe nikichumbua itakua imebadilka
 
JKT kuna manufaa mengi unajifunza skills nyingi kilimo ufugaji ujenzi n.k kijana akitoka hapo ana enda kijitegemea ni kama chuo tofauti jkt unapata mafunzo ya kijeshi na nidhamu nadhani umekurupuka kuandika bila kujua JKT ni nini

Wangapi waliosoma hizo skills jeshini wamejiajiri au kuajiriwa?
 
...hata jkt computer mbona zipo na wanafundishwa...watu wana be trained according to malengo...ungesema huko jkt waongeze masomo including hapo unayotaka ingekuwa poa sana...jkt ina train watu nt only mapigano na ujasiliamal bt also activeness ya mtu....

Activeness baada ya miezi mitatu unarudi uraiani na kuendelea na maisha yako kama yalivyokua..Activeness is about self-discipline..mtu hakufundishi kuwa active....

Sijajua kama unatania ama ni kweli kama wanafundishwa computer?/
 
...ww umepitia jkt kwanza..?
 
Nimeipenda system ya Nigeria. Kijana akimaliza chuo anafanya Youth Service mwaka mmoja. Unaitumikia serikali kwa mwaka mmoja kwa minimum wage.

Unaweza kupelekwa kijijini au mjini kwenye rud down communities. Unatumia skills zako kusaidia community.
 
Hello JF,

in this ever changing world..

is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...

Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳

Embu tu discuss wana JF,

How is this supposed to help these young persons?

May be it was adaptive back then...

ila sio sasa…

Jeshi libakie jeshi anayependa aende..

lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...

kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,

Anyway,

Mie nimewaza,

nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..

ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana

jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...

ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...

Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.

Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...

Namaanisha,

vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...

( Mengine muongezee),

Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...

Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum

ila bado kuna gap kubwa sana…

hii ingekua official..

Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.

Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..

Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol

.
Wakati wa Vita vya kagera ulikuwa na umri gani? Jkt ndio waliovuka mpaka kukimbizana na idd Amin, jkt wakiongozwa mwl Joseph ndio ndio waliowakimbiza walinzi watiifu wa idd Amin ikulu ya Kampala.

Jkt ni jeshi la akiba kwa maana nyingine. Na ukiona nchi imetulia maana yake jeshi liko imara
 
Wanajeshi wenyewe tunao tele mpk hawana kazi za kufanya kutwa wanafyeka fyeka tu na kuvusha watoto barabara hlf bado mnalazimisha wengne waingie...
Mawazo ya kipumbavu
 
Nimeipenda system ya Nigeria. Kijana akimaliza chuo anafanya Youth Service mwaka mmoja. Unaitumikia serikali kwa mwaka mmoja kwa minimum wage.

Unaweza kupelekwa kijijini au mjini kwenye rud down communities. Unatumia skills zako kusaidia community.
Trust me you guys you're sharing some uniquely feminine Instincts
 
Mi nimekwepa kwenda JKT na kukaa kitaa mpaka wanatoka nimepiga zaidi ya 1.2M na nikiwa sina mtaji wowote m, nilipiga mishe nyingi tena za kihalali na kujipatia kiasi hiki ambacho kwangu ni kingi kidogo maana familia yetu ya kawaida mno. Wale waloenda ni vema maana hatuwezi kosa wote wala kwenda wrote but ambacho sikubaliani nacho kabisa ni kupeleka GIRLS kwa mujibu. Nasema hivi, huu utaratibu uondolewe kabisa maana uko wnwenda nyanyasika kingono na wanajeshi walioko uko. Utakuta mdada akitongozwa na mjeda akikataa anapewa mateso ya waziwazi, na mnajua fika hakuna matumizi ya sheria kule. Ninaongea hivi kwa ushuhuda ingawa sijaenda, rafiki zangu girls kibao wamenambia. Ukitaka kushuhudia fatilia familia ambazo dada mtu alienda JKT afu uone kama mdogo wake wa kike ataenda,kamwe hawaendi. Hata kaka zao walotoka uko uwashuhudia wadogo zao wa kike hawaendi kama familia zao zinajielewa. Uko wanaenda ambukizwa HIV kizembe tu. Sema mimi girlfriend wangu hakutia miguu maana dada yake alienda miaka michache ilopita wakamtaka ikabidi atoroke
 
Activeness baada ya miezi mitatu unarudi uraiani na kuendelea na maisha yako kama yalivyokua..Activeness is about self-discipline..mtu hakufundishi kuwa active....
Sijajua kama unatania ama ni kweli kama wanafundishwa computer?/
Wewe sema tu hauna sababu ya msingi ya kuwazuia vijana kutokwenda jkt kama ni ishu ya computer semister ya kwanza tu chuo lazima usome computer application.
Ishu ya kwenda english course sio ishu kama umeshindwa kukimanya kingereza kwa miaka 14 ya kukaa darasani ndio utaweza kukimanya ndani ya miezi 3 kweli?
Waache vijana wakapate new exposure huko, kuna watoto wa mama hawajui hata kulima bustani ya mboga mboga
 
Hello JF,

in this ever changing world..

is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...

Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳

Embu tu discuss wana JF,

How is this supposed to help these young persons?

May be it was adaptive back then...

ila sio sasa…

Jeshi libakie jeshi anayependa aende..

lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...

kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,

Anyway,

Mie nimewaza,

nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..

ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana

jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...

ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...

Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.

Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...

Namaanisha,

vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...

( Mengine muongezee),

Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...

Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum

ila bado kuna gap kubwa sana…

hii ingekua official..

Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.

Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..

Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol

.
Utatoka wewe kwenda kuumia na Baridi usiku wamanane kwa ajili yakulinda nchi. Au ulitakaje kwa mfano.
 
Back
Top Bottom