Vijana wasiende jeshini....

Vijana wasiende jeshini....

Hello JF,

in this ever changing world..

is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...

Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳

Embu tu discuss wana JF,

How is this supposed to help these young persons?

May be it was adaptive back then...

ila sio sasa…

Jeshi libakie jeshi anayependa aende..

lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...

kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,

Anyway,

Mie nimewaza,

nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..

ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana

jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...

ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...

Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.

Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...

Namaanisha,

vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...

( Mengine muongezee),

Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...

Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum

ila bado kuna gap kubwa sana…

hii ingekua official..

Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.

Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..

Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol

.
Hatuhitaji jeshi!wala makomandoo kama shwaziniga!
Ur fucking kiding! Tell me ur not serious!
Uwepo wao,ndio unakufanya uone nchi INA amani,na kwamba haiitaji jeshi,.
Maadui wapo kibao,kila kona,toa jeshi uone,watakavyotuvuruga.
Angalia DRC,inavyofanywa shamba la bibi na Rwanda.
 
Kuna wale viongozi wawili,wa wawakilishi wa majimbo ya kisiasa: moja la mwisho wa reli-migebuka na lingine la kiwanda cha nyama za makopo kilichokufa, mzizima, kwa kuwa machachali bungeni nao walienda kule kupata uzalendo enzi za mzee wa kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya, nilitegemea wakirudi watakuja ni wapole kama njiwa, wajanja kama nyoka, na wasafi kama paka. Matokeo yake, yakawa tofauti maana, waliendelea na wembe ule ule mpaka leo. Kwa sampuli hiyo, naunga mkono mtoa hoja.
 
Nimeipenda system ya Nigeria. Kijana akimaliza chuo anafanya Youth Service mwaka mmoja. Unaitumikia serikali kwa mwaka mmoja kwa minimum wage.

Unaweza kupelekwa kijijini au mjini kwenye rud down communities. Unatumia skills zako kusaidia community.

Hii ndo national service sasa
Ni kama vile vijana wa Marekani wale wa PEACE CORPS wanapojitolea kwenda nchi mbalimbali duniani kufundisha hesabu, physics, Chemistry etc
 
Kwa nini mkuu?
Eleza unachokijua vingine viache, maana huna uzoefu nazo. Kakwambia nani kule kupasuliwa matofali kwenye kifua, yaani kuona video za mazoezi ndiyo unakuja kufungua uzi na kutuhumu moja kwa moja. Hayo mambo ya matofali si Lazima na huteuliwa wachache wanaotaka kufanya hivyo kwa hiyari zao, hakuna kipengele hiko kwenye mafunzo.

Mfumo wa JKT mara ya kwanza mtu akiingia ni mazoezi ya viungo na kwata kwa ajili ya kuwa na mwili imara, kisha anakuja kujifunza uzalishaji. Anafanya shughuli na analipwa kila mwezi akiwa kambini, ndipo anakuja kujifunza mafunzo ya kijeshi.

Watu wanaingia darasani kufundishwa silaha na sifa zake na pia ushikaji wa bunduki. Wanakuja kulenga shabaha baadaye, kisha wanaingia mafunzo ya vitani porini. Huko kote mazoezi ya viungo ya awali ndiyo yanawaweka vyema, kama mtu aliyafanya.

Mtu akitoka kule ana ujuzi wa aina mbalimbali ikiwemo kilimo, uhifadhi mazao vitu ambavyo wengi hawakuvifanya na wala kuvijua. Mhitimu wa mafunzo yale kama alizingatia, umpe shamba unaweza kuona matokeo yake, tena hakulipia kujifunza kuliko huko kwenda kupoteza pesa kujifunza miezi mitatu kwa kozi zisizo na manufaa mjini hivi sasa

Mbali na hapo ana ujuzi wa mafunzo ya medani ya vita, ikitokea siku kakutwa na baya na yupo karibu na silaha anaweza kujitetea.

Yaani mtu yote hayo anafunzwa bure, analishwa bure na bado analipwa posho kwa shughuli anazozifanya ndani ya kambi
 
Lazima vijana wafundishwa ukakamavu na uzalendo. Taifa halina uzalendo kabisa, siasa zinaingizwa kwa vijana toka wakiwa tumboni, matokeo yake tunakuwa na taifa la ajabu sana, kwenda kuruta ni muhimu kwa vijana.

Kwa lifestyle ya sasa, vijana wanazidi kuwa legevu, its a world of smartphone, technology etc. Ni lazima akili ziamshwe vijana wawe active, to me it's very important vijana waende jeshini. Bahati mbaya miaka yetu hatukupata nafasi ya kwenda jeshi, but I like it.
 
1. Inawezekana tena sana tuu..jeshi ni kazi kama kazi nyingine
Sijakataa kama ni kazi kama kazi zingine, kule vijana hawaendi kuajiriwa

2. Toa mshahara mzuri,utawapata watu wanaotaka kuwa wanajeshi,sio kwa vile ni wanajeshi ni wachache then wananchi tuwe na sisi wanajeshi….
Lengo la hizi operations sio kutafuta watu wakujiunga na jeshi lolote, kumbe ulikuwa huna taarifa sahihi unaonaona tu.
.
Yes kila mwananchi wa TZ anapaswa kiwa na mafunzo kidogo ya kijeshi serikali ilifanya makosa sana kuondoa hiki kitu miaka ya nyuma.

3.Again,kiukweli sijawahi kusikia wananchi wakiwa trained ready for war...na sisi tumetohoa huko huko bila kuangalia kama lina manufaa…???...
Usiwe mbishi kitu kama hukijui

mbinu za kivita zimebadilika ndugu, angalia hata ndege za kivita zimekua more sophisticated..na hata intelligence I believe nikichumbua itakua imebadilka
Narudia tena usiwe mbishi kitu kama hukijui.
.
Mbinu za kivita hazijawahi kubadilika na hazitobadilika kinachobadilika ni intelijensia tu nakupa mifano
Kuna vitu vinaitwa "BAGENDA" na "OBSTACLE CROSSING" hizi zote ni njia za kukabiliana na adui (mbinu za vita)
Zimeanza kufundishwa baba wa babu wa babu yako na babu hawajafikiriwa kuzaliwa zinafundishwa hadi leo.
.
Umezungumzia ndege vita kuwa more sophisticated hahaha! Unachekesha sana mbinu zinazotumika kujigicha au kupambana na ndege vita ni zilezile sitaki kueleza mengi.
.
Nakupa kamfano kadogo ndege yoyote ya kijeshi ambayo inaonekana kwenye rada uwezo wa kuilipua kutokea ardhini ni mkubwa kwa mbinu zilezile za miaka ya Hitler ila ambazo hazionekani au zenye kasi zaidi zitahitaji mbinu zilezile ila intelijensia ya hali ya juu kwa kujua inatembea kwa speed gani iwapo angani inauwezo wa kupaa hadi urefu gani mnarejea na uwezo wa kombora lenu n.k
.
Intelijensia tu ndio inayibadilika ndio maana mwanajeshi wa TZ anao uwezo wa kwenda Russia kujifunza intelijensia yao ya kivita na sio mbinu
 
Eleza unachokijua vingine viache, maana huna uzoefu nazo. Kakwambia nani kule kupasuliwa matofali kwenye kifua, yaani kuona video za mazoezi ndiyo unakuja kufungua uzi na kutuhumu moja kwa moja. Hayo mambo ya matofali si Lazima na huteuliwa wachache wanaotaka kufanya hivyo kwa hiyari zao, hakuna kipengele hiko kwenye mafunzo.

Mfumo wa JKT mara ya kwanza mtu akiingia ni mazoezi ya viungo na kwata kwa ajili ya kuwa na mwili imara, kisha anakuja kujifunza uzalishaji. Anafanya shughuli na analipwa kila mwezi akiwa kambini, ndipo anakuja kujifunza mafunzo ya kijeshi.

Watu wanaingia darasani kufundishwa silaha na sifa zake na pia ushikaji wa bunduki. Wanakuja kulenga shabaha baadaye, kisha wanaingia mafunzo ya vitani porini. Huko kote mazoezi ya viungo ya awali ndiyo yanawaweka vyema, kama mtu aliyafanya.

Mtu akitoka kule ana ujuzi wa aina mbalimbali ikiwemo kilimo, uhifadhi mazao vitu ambavyo wengi hawakuvifanya na wala kuvijua. Mhitimu wa mafunzo yale kama alizingatia, umpe shamba unaweza kuona matokeo yake, tena hakulipia kujifunza kuliko huko kwenda kupoteza pesa kujifunza miezi mitatu kwa kozi zisizo na manufaa mjini hivi sasa

Mbali na hapo ana ujuzi wa mafunzo ya medani ya vita, ikitokea siku kakutwa na baya na yupo karibu na silaha anaweza kujitetea.

Yaani mtu yote hayo anafunzwa bure, analishwa bure na bado analipwa posho kwa shughuli anazozifanya ndani ya kambi
Huyu dada namshangaa sana
 
Kwa Taarifa yako kuna nchi duniani wafanyakazi wake wote wamepitia jeshini,Elimu ya jeshi sio kwa ajili ya vita tuu!​
 
Naheshimu bandiko lako ila JKT kwa mujibu ni jambo jema ingawaje kuna mambo yanahitaji maboresho
 
Lazima vijana wafundishwa ukakamavu na uzalendo. Taifa halina uzalendo kabisa, siasa zinaingizwa kwa vijana toka wakiwa tumboni, matokeo yake tunakuwa na taifa la ajabu sana, kwenda kuruta ni muhimu kwa vijana.
Kwa lifestyle ya sasa, vijana wanazidi kuwa legevu, its a world of smartphone, technology etc. Ni lazima akili ziamshwe vijana wawe active, to me it's very important vijana waende jeshini. Bahati mbaya miaka yetu hatukupata nafasi ya kwenda jeshi, but I like it.
kwa hiyo akili za vijana zinaamshwa kwa kupasuliwa matofali kichwani? wazungu ni wadhaifu kimwili, kinachowafanya wawe juu yetu ni akili, techologia waliyonayo, tatizo vijana wanaohitimu jkt hawana ujuzi wowote wa maana wanaoutumia kujiajiri zaidi ya kulilia kazi majeshini,
 
Ata mimi naona serikali inapoteza pesa tu ni upuuzi vijana wenyewe wanarudi hamna chochote walichopata zaidi ya kuteswa teswa
 
Wewe sema tu hauna sababu ya msingi ya kuwazuia vijana kutokwenda jkt kama ni ishu ya computer semister ya kwanza tu chuo lazima usome computer application.
Ishu ya kwenda english course sio ishu kama umeshindwa kukimanya kingereza kwa miaka 14 ya kukaa darasani ndio utaweza kukimanya ndani ya miezi 3 kweli?
Waache vijana wakapate new exposure huko, kuna watoto wa mama hawajui hata kulima bustani ya mboga mboga

hoja yako haina mashiko...

mbona tunajua na kuongea Kiswahili na bado tuna somo la Kiswahili?

exposure gani watakayopata huko?kama sio kupoteza muda?
 
Hatuhitaji jeshi!wala makomandoo kama shwaziniga!
Ur fucking kiding! Tell me ur not serious!
Uwepo wao,ndio unakufanya uone nchi INA amani,na kwamba haiitaji jeshi,.
Maadui wapo kibao,kila kona,toa jeshi uone,watakavyotuvuruga.
Angalia DRC,inavyofanywa shamba la bibi na Rwanda.

mnhhhh hivi sijui kama tunaelewana..

sijakataa jeshi liwepo,nakataa wananchi tugeuzwe part ya Jeshi..

soma uelewe
 
Hello JF,

in this ever changing world..

is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...

Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳

Embu tu discuss wana JF,

How is this supposed to help these young persons?

May be it was adaptive back then...

ila sio sasa…

Jeshi libakie jeshi anayependa aende..

lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...

kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,

Anyway,

Mie nimewaza,

nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..

ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana

jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...

ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...

Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.

Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...

Namaanisha,

vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...

( Mengine muongezee),

Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...

Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum

ila bado kuna gap kubwa sana…

hii ingekua official..

Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.

Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..

Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol

.
Huna adabu wewe na umevimbiwa amani unaona sio lazima kuwaandaa vijana wazalendo. Waulize wazee wenzangu wakati wa vita ya kagera ndio ujue umuhimu wa vijana kufundishwa utayari. Unataka vijana wote wawe so called '' wanaume wa daresalam?" ikitokea vita si wote wanakimbilia kujificha? uzalendo!!!uzalendo!!!! uzalendo
 
Back
Top Bottom