kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,883
- 2,786
Mafunzo ya kichurachura hapo unajihami vipi? Wenzetu wanafundishwa kutumia technology za Kisasa za kivita sie tunaenda kufundishwa kiruka kichurachura na kuimbaMimi sijapita jkt lakini nimesikia hawa vijana wanapata fursa ya kujifunza kazi mbalimbali za mikono kitu ambacho kinaweza kuwasaidia kwenye maisha yao na pia wanajifunza mbinu za kujihami