Vijana wasiende jeshini....

Vijana wasiende jeshini....

Sijakataa kama ni kazi kama kazi zingine, kule vijana hawaendi kuajiriwa

Lengo la hizi operations sio kutafuta watu wakujiunga na jeshi lolote, kumbe ulikuwa huna taarifa sahihi unaonaona tu.
.
Yes kila mwananchi wa TZ anapaswa kiwa na mafunzo kidogo ya kijeshi serikali ilifanya makosa sana kuondoa hiki kitu miaka ya nyuma.

Usiwe mbishi kitu kama hukijui

Narudia tena usiwe mbishi kitu kama hukijui.
.
Mbinu za kivita hazijawahi kubadilika na hazitobadilika kinachobadilika ni intelijensia tu nakupa mifano
Kuna vitu vinaitwa "BAGENDA" na "OBSTACLE CROSSING" hizi zote ni njia za kukabiliana na adui (mbinu za vita)
Zimeanza kufundishwa baba wa babu wa babu yako na babu hawajafikiriwa kuzaliwa zinafundishwa hadi leo.
.
Umezungumzia ndege vita kuwa more sophisticated hahaha! Unachekesha sana mbinu zinazotumika kujigicha au kupambana na ndege vita ni zilezile sitaki kueleza mengi.
.
Nakupa kamfano kadogo ndege yoyote ya kijeshi ambayo inaonekana kwenye rada uwezo wa kuilipua kutokea ardhini ni mkubwa kwa mbinu zilezile za miaka ya Hitler ila ambazo hazionekani au zenye kasi zaidi zitahitaji mbinu zilezile ila intelijensia ya hali ya juu kwa kujua inatembea kwa speed gani iwapo angani inauwezo wa kupaa hadi urefu gani mnarejea na uwezo wa kombora lenu n.k
.
Intelijensia tu ndio inayibadilika ndio maana mwanajeshi wa TZ anao uwezo wa kwenda Russia kujifunza intelijensia yao ya kivita na sio mbinu

1.,jeshi ni jeshi..ni kazi kama nyingine thibitisha hili si kweli….

2.Utasemaje intelijensia imebadilika na mbinu hazijabadilika?kwa mtazamo wangu hivi vinaenda pamoja,huwezi sasa ukatumia nguvu nyingi kumpiga adui..sababu sasa kuna vyombo vizuri zaidi vinavyoweza kufanya kazi hio...

3.Sijapinga wanajeshi kupata mafunzo,nimepinga sisi wananchi kugeuzwa wanajeshi

4.Sijajua uko tulikotohoa hii system,ingependeza kama ungetuambia ni nchi gani zinazofanya haya na wamefaidika vipi...
 
Huna adabu wewe na umevimbiwa amani unaona sio lazima kuwaandaa vijana wazalendo. Waulize wazee wenzangu wakati wa vita ya kagera ndio ujue umuhimu wa vijana kufundishwa utayari. Unataka vijana wote wawe so called '' wanaume wa daresalam?" ikitokea vita si wote wanakimbilia kujificha? uzalendo!!!uzalendo!!!! uzalendo

Kipimo cha uzalendo baada ya mafunzo ni kipi?
 
1.,jeshi ni jeshi..ni kazi kama nyingine thibitisha hili si kweli….

2.Utasemaje intelijensia imebadilika na mbinu hazijabadilika?kwa mtazamo wangu hivi vinaenda pamoja,huwezi sasa ukatumia nguvu nyingi kumpiga adui..sababu sasa kuna vyombo vizuri zaidi vinavyoweza kufanya kazi hio...

3.Sijapinga wanajeshi kupata mafunzo,nimepinga sisi wananchi kugeuzwa wanajeshi

4.Sijajua uko tulikotohoa hii system,ingependeza kama ungetuambia ni nchi gani zinazofanya haya na wamefaidika vipi...
Wewe mbishi sana na unabisha vitu usivyo vijua.
Hujui ata Israel inanufaika vipi na hii system ungekuwa unalijua hata hili angalau ningekuelewesha mpaka hapa kwaheri bishana na wasiojua wenzio
 
Ukipewa mafunzo kwa vitendo kujiajiri au kuajiriwa ni utashi wa muhusika lakini ni ajabu sana kama umefundishwa stadi za maisha ukashindwa kutoka kimaisha

eti utashi wa mtu..nakuuliza tena wangapi wamejiajiri au kuajiriwa baada ya kupitia jeshi?
 
Nilitaka kushangaa,, Rebecca huyu huyu tunayemsasambua na kumtandaza miguu ndiye awe na hoja ya maana? Wewe endelea kupiga kelele lakini jeshini wataenda tu!

mnhhhhhhh 🙁🙁🙁🙁🙁😡😡😡😡..jiheshimu,hunijui sikujui..
 
Ahsante JKT,
Ahsante 832 KJ,
Mliniweka sawa, sasa nina uwezo wa kuishi sehemu yoyote, kuishi na mtu yeyote na pia kujihami.
JKT raha sana, kwanza kule hakuna mitihani zaidi ya msuli wako
 
Wewe mbishi sana na unabisha vitu usivyo vijua.
Hujui ata Israel inanufaika vipi na hii system ungekuwa unalijua hata hili angalau ningekuelewesha mpaka hapa kwaheri bishana na wasiojua wenzio

Kama sijui kuna chance wengine wengi hawajui..

Wewe elezea watu wapate ufahamu..

kwani kuna ugumu gani yakhee?
 
eti utashi wa mtu..nakuuliza tena wangapi wamejiajiri au kuajiriwa baada ya kupitia jeshi?
Narudia tena JKT ni kwa hiari ukiachana na wale wa mujibu wa sheria unalipwa ukiwa JKT unafundishwa ufundi kilimo ufugaji n.k posho unayo pata ndani ya miaka miwili unashindwaje kununu mashine ya grilili ukachomelea mageiti unashindwaje kununua mwiko ukaanza ujenzi?JKT ni zaidi ya chuo
 
hoja yako haina mashiko...
mbona tunajua na kuongea Kiswahili na bado tuna somo la Kiswahili?
exposure gani watakayopata huko?kama sio kupoteza muda?
Unakumbuka hoja yako ya msingi kwanini vijana wasiende jkt? Au dish limeshayumba.
Kwamba hiyo miezi mitatu tu ya kwenda jkt mtu akijifunza english na computer ndio ataweza kuwa competent kushindana na wakenya.
Exposure umeshatajiwa nyingi tu huko juu, rudi kazisome
 
Kipimo cha uzalendo baada ya mafunzo ni kipi?
Kipimo ni hiki..."..ni vizuri kutoa jasho jingi wakati wa amani ili utoa jasho kidogo wakati wa vita....." ninacokiongea huwezi kuelewa kwa sababu umevimbiwa amani ambayo hujui inatengenezwaje.
 
Unakumbuka hoja yako ya msingi kwanini vijana wasiende jkt? Au dish limeshayumba.
Kwamba hiyo miezi mitatu tu ya kwenda jkt mtu akijifunza english na computer ndio ataweza kuwa competent kushindana na wakenya.
Exposure umeshatajiwa nyingi tu huko juu, rudi kazisome

JIBU ni NDIO, mtu anaweza kuwa competent kwenye Computer na English ndani ya miezi mitatu..tukipata walimu SAHIHI na enough FACILITIES!...
 
Narudia tena JKT ni kwa hiari ukiachana na wale wa mujibu wa sheria unalipwa ukiwa JKT unafundishwa ufundi kilimo ufugaji n.k posho unayo pata ndani ya miaka miwili unashindwaje kununu mashine ya grilili ukachomelea mageiti unashindwaje kununua mwiko ukaanza ujenzi?JKT ni zaidi ya chuo

wewe usizunguke..nakuuliza tena wangapi wameajiriwa au kujiajiri baada ya kupitia mafunzo jeshini?
 
Hello JF,
in this ever changing world..
is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...
Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳
Embu tu discuss wana JF,
How is this supposed to help these young persons?
May be it was adaptive back then...
ila sio sasa…
Jeshi libakie jeshi anayependa aende..
lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...
kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,
Anyway,
Mie nimewaza,
nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..
ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana
jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...
ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...
Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.
Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...
Namaanisha,
vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...
( Mengine muongezee),
Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...
Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum
ila bado kuna gap kubwa sana…
hii ingekua official..
Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.
Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..
Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol
.
Taifa linahitaji vijana hodari na wenye ujasiri wa kulinda na kutetea Taifa lao.
Taifa linahitaji nguvu kazi madhubuti
Taifa linahitaji vijana wenye nidhamu,wakakamavu, wanaojituma na watiifu.
Alisikika mtu(mheshimiwa) mmoja serikalini akisema!!!
 
Uzalendo haupimwi kwa kupigwa matofali kichwani, bali kuona serikali inajali wananchi wake...

Ukakamavu, nenda GYM lol
 
Hello JF,

in this ever changing world..

is essential people (youth) are equiped with right skills/knowledge...

Nimeona ,wanajeshi wakipasuliwa tofali kichwani 😳 😳 😳

Embu tu discuss wana JF,

How is this supposed to help these young persons?

May be it was adaptive back then...

ila sio sasa…

Jeshi libakie jeshi anayependa aende..

lakini isiwe kigezo cha kupata kazi...

kwanza nchi yetu ina Amani sana,hatuhitaji makomandoo kama 'shoziniga',wale tuliokua tunawaona kwenye TV,😉,

Anyway,

Mie nimewaza,

nikaona hizo hela za kuwalisha,kuwapa malazi vijana wooote hao jeshini..

ingetumika kuwapa right skills/knowledge hao vijana

jeshini vijana wanapoteza umri na mambo ambayo hayawasaidii mbeleni...

ukumbuke ni vijana..MUDA na NGUVU zao zingeweza kuelekezwa kwingine kwenye tija Zaidi...

Mie ningependa badala ya kwenda jeshini, ni vizuri hawa vijana wakapita through smooth transition from Secondary School to University life.

Vitu vitakavyowasaidia shuleni na baadae wanapopata ajira...

Namaanisha,

vijana baada ya kumaliza kidato cha sita,wapate kusoma kompyuta,English(both verbal and written),...strategies such as presentation skills...

( Mengine muongezee),

Am sure hivi vitu vikitiliwa mkazo..vitamsaidia mtu akienda CHUO na hata baadae kwenye AJIRA...

Naelewa sasa hivi vitu especially shule za private zunafundisha hivi vitu with their curriculum

ila bado kuna gap kubwa sana…

hii ingekua official..

Wahitimu wakimaliza University wanakuwa wameiva na relevant skills/knowledge.

Tungekuwa Competent kwenye soko la ajira..

Sio kama sasa hata waKenya wanatunyanyasa..lol

.
Umenena DD wangewapeleka hata ktk ufundi.
 
Back
Top Bottom