Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

Nyani
Wanavizia makundi ya vijana wale Wachache Wachache.
Pia wapo na majina ya vijana ambao wanawatafuta. Kwahiyo usiku huu ndio wanatafuta na kuwa chukua kisha kuwapiga risasi.
Still, watu wanaweza ku fight back bana aaargh!

Watanzania tukoje sisi???
 
Still, watu wanaweza ku fight back bana aaargh!

Watanzania tukoje sisi???
how do u do that? tupe mbinu maana jamaa wana shoot from their unmarked cars, wanatembea usiku tu, kuna kisasi anacho huyu mama against Watanganyika..
 
Swali nalo jiuliza, ikifika wiki ijayo itakuwa ngumu watu kukaa ndani sababu ya njaa, sidhani asilimia kubwa ya familia zina uwezo wa kuwa na akiba ya chakula cha zaidi ya wiki…the hell is about to break loose
 
Kwanini Lakini? Hawajaridhika na maelfu ya hao vijana waliowaua?

Kwasasa kwa vijana wanaowatafuta, wakiwakamata wanawapiga risasi.

Jeshi please wasaidieni vijana wetu. Usiku hali ni mbaya sana.
..kutengeneza hofu za kipumbavu tu..lengo ni vijana waone km wanatafutwa wajenge hofu ya kutoka!
 
Nyani
Wanavizia makundi ya vijana wale Wachache Wachache.
Pia wapo na majina ya vijana ambao wanawatafuta. Kwahiyo usiku huu ndio wanatafuta na kuwa chukua kisha kuwapiga risasi.
Hakuna kitu km hicho..toa upuuzi wako hapa!
 
Inawezekana kuwa kweli na inawezekana kuwa uzushi
Na mbaya zaidi kama uzushi sababu itajenga hofu
Na kama ni kweli ni vizuri kuwa na ushahidi hasa katika hizi zama kijiditali ambapo kila mtu anaweza kupiga picha akiwa mbali na kuleta habari yenye ushahidi kamili....
..si kweli, msemaji anataka kujenga hofu vijana waogope kutoka nje sabab wakitoka wanapata muda kujadiliana kiwango cha uhalifu uliofanyika na kuamua kuchukua hatua!
 
Kuna habari njema. JWTZ wamefikia sehemu ya tukio Ilala na wamewaokoa vijana waliokwama hapo.

Taarifa ni kwamba vijana Kama 80 wameokolewa.

Hongera sana kwa wote waliopaza sauti. Hongera kwa jeshi letu.

Vijana jilindeni hasa masaa ya usiku.
 
Foolish..!
 
..peleka kwenu hizo propaganda za kitoto!
Nafikiri wewe ni sehemu ya wauaji. Huna lolote zaidi ya kutaka damu za Watanganyika.

Vijana wanauawa na snippers sehemu mbalimbali za miji mikubwa, wewe unaona ni propaganda.
Basi lets taarifa zako za kweli.
 
Back
Top Bottom