Vijana wa mjini wana matatizo gani?

Vijana wa mjini wana matatizo gani?

Simu laki 3!!! Hapana, si kweli. Wana kila latest series ya iphone au samsung.. Halafu mtu anakuambia hana kazi mjini.
 
Nawasailimu ndg,JF
kuna kitu najiuliza ila sipati jibu kwa hawa VIJANA waishio mijini.
Unakutana na kijana hana KAZI/AJIRA lakini anamiliki vitu vifuatavyo :
1.viatu (60,000/=
2.t shirt (25,000/=
3.simu (300,000/=
4.mkufu(40,000/=
5.suruali (35,000/=
n.k
halafu eti anasema HANA MTAJI...
je hizo PESA za kununua hivo vitu wanapata wapi ??
Sasa unataka wote tuonekane wa bush, point 3 muhimu kwanza, mengine baadae.
 
Nawasailimu ndg,JF
kuna kitu najiuliza ila sipati jibu kwa hawa VIJANA waishio mijini.
Unakutana na kijana hana KAZI/AJIRA lakini anamiliki vitu vifuatavyo :
1.viatu (60,000/=
2.t shirt (25,000/=
3.simu (300,000/=
4.mkufu(40,000/=
5.suruali (35,000/=
n.k
halafu eti anasema HANA MTAJI...
je hizo PESA za kununua hivo vitu wanapata wapi ??
mjini ujanja ukijifanya mtafutaji sana kupata pesa kwako inakuw mbinde kila mtu ananjia zake bana mwingine analelewa na limama lakini mwisho wa siku maisha kakuzidi we unayehangaika kila siku
 
Back
Top Bottom