Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
"Si chochote, si lolote" in what sense.? Kwamba kidume kinashinda tu home kinacheza bao au kinashinda home coz ni jobless.? Unakuta mdada anamsupport baby wake coz Hana kitu, coz maybe anaona wana malengo mengi tu and kuna possibility ya boy kumake it happen in the near future, hapo sio sawa akisaidiwa na baby wake???
But Kama Huyo Mkaka Hana afanyalo na Ni mvivu wa kujishughulisha, then kuna tatizo kubwa. Hapo Ni kuendekeza tu umario na mama mwenye house was right. Wanaume wengine Ni wavivu mno na hats hawajisikii vibaya kulelewa
Daah ila mwanaume Kutokuwa na pesa Ni mtihani mzito mnoooo, utaitwa Mario kila siku na Ni lazima utakuwa na inferiority Fulani Tu. Isitoshe mwanaume kaumbiwa kutafuta tu, sidhani Kama utajisikia Amani na kuridhika mwenzi wako kukuhudumia