Vijana wa kiume amkeni tafuteni hela

Vijana wa kiume amkeni tafuteni hela

Tafuta noti uombe chenji... vijana tuache kulalamika bila sababu... dunia hii bila hela then unajifanya kiboro dinda mtaani utawapata mazoba tu
 
Ukikumbuka uje uniambie
Yes!! takuja pm na home_magazineEcobank chip card.jpgimages.jpg
 
I get the point !!! ndo maana mke wangu na watoto ni full respect kwangu kwa sababu uzee ndo utaniambia stooooooop!!! enough is enough. Lakini so long nina nguvu na akili timamu the war for better living will never end. Mwanaume sema NO kwenye failure ya maisha na kataa kuitwa loser .
 
Ukiona wallet imejaa hivi ujue hujui matumizi ya benk account wala MPESA, TIgoPesa n.k. Hizi facilities zinatusaidie kuepuka kuweka fedha zetu at risk kama ilivyo kwenye hii wallet. Chukua hela nyingi kama unafanya malipo na si kutembea nazo la sivyo tutawaita vijana wazipeleke panapostahili
Mkuu rudi kwenye mada husika nilichokifanya mimi hapo hapakuwa na haja ya wewe ku-quote maana muhusika anajua nimemanisha nini.
 
Ukiona wallet imejaa hivi ujue hujui matumizi ya benk account wala MPESA, TIgoPesa n.k. Hizi facilities zinatusaidie kuepuka kuweka fedha zetu at risk kama ilivyo kwenye hii wallet. Chukua hela nyingi kama unafanya malipo na si kutembea nazo la sivyo tutawaita vijana wazipeleke panapostahili

Mkuu sidhani kama hiyo wallet ni ya Phlagiey....nadhan alikuwa anafanya demonstration tu
 
Last edited by a moderator:
Tulitongoza bila senti mfukoni, tulimega bila senti mfukoni..then tukasepa...!
..Nyie mnaoongozwa na pesa mtamegwa tu, then mkishtuka mtaona vumbi tu..!
filthy rich ladies have been laid by matching guys(machinga) for years, who are you not to....!
 
Sujasema huwezi mkuu....namaanisha sio yako maana hiyo wallet naionaga mara nyingi
Mh! sasa Khantwe unapoweka hili neno "SIDHANI" inamaana unaashilia kunaualakini wa mimi kumiliki hiyo wallet
 
Last edited by a moderator:
asanteee mwanaume pesa..... kuna huyo mkongo maeneo ya kwetu kiswahili hawezi kiingereza hajui aubuhi niipita yupo jioni nikirudi yupo,... anajileta leta sijui anadhani nitamlea namsubiria tu ajichanganye kudadeki nitamtoa nduki labda aje na bank statement aisee

mmmmhh mlee bhana
 
mi sina pesa lakin nakula watoto wa kishua balaa watoto wa kike saund tu
 
Tulitongoza bila senti mfukoni, tulimega bila senti mfukoni..then tukasepa...!
..Nyie mnaoongozwa na pesa mtamegwa tu, then mkishtuka mtaona vumbi tu..!
filthy rich ladies have been laid by matching guys(machinga) for years, who are you not to....!

Rich ladie walimegwa na wamachinga kwa sababu walikuwa nazo na waliweza kuwahonga....imagine mtu kama mimi nakuwa na mtu wa kuniomba na hela tena khaaaa..... Af kitu kingine umeshasema wamachinga...ni wazi walikuwa wanajishughulisha ndio maana wakaitwa wamachinga. Imagine dume linakaa ndani kwa baba kazi kubadilisha channel tu kwenye king'amuzi alicholipia baba...aseeee....kama una uwezo wa kugegeda unashindwa kufanya kazi???? Hapana kwa kweli...semeni vyovyote lakini dume linalolelewa ni tatizo kabisa aiseee
 
Mh! sasa Khantwe unapoweka hili neno "SIDHANI" inamaana unaashilia kunaualakini wa mimi kumiliki hiyo wallet

Teh bas mkuu nyoosha tu maelezo....ni ya kwako???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom