miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
sex is easy, love is expensive.
Ni kweli kabisa if u love me u should have some expenses for me
sex is easy, love is expensive.
Na hao majamaa kwa kujua kutoa uno la sebene ukimpa hata kidogo hautakaa umuache kamwe
Mtizamo wangu, hapa kuna mambo mawili. 1. Kupenda hela. 2. Kuwa nq uhakika wa maisha. Huyu mama siyo kwamba anapenda hela, bali anaangalia future ya huyo binti kwa kijana. Hata mimi dada yangu hawezi akaje na dude ambalo baadae litakuwa mzigo kwa familia eti "huyu ndo mme wangu mtarajiwa" lazima niwatoe nduki. Hii haina maana kuwa jamaa aw mtoto wa Mengi, la hasha, zinatakiwa zionekane juhudi binafsi kwa huyo mtu ambazo zinatoa promise kwamba, huyo mwanamme anaweza ku run maisha yake mwenyewe. Hivyo hata nikimpatia mke ataweza ku manage familia yake, hata kama kuna msaada utahitajika, basi itakuwa ni kujazilizia palipopungua. Na huo ndo uanaume.
hahaha.. considering your record of ubishi...lazima nikupinge..! lolHahaha....sasa alichoongea yeye na nlichoongea mimi kina tofauti gani mbona mi umenipinga vikali
mmh! Unavyotetea haya bhana ngoja basi tusaidiane na mm kuifanyia matengenezo
Ni kweli kabisa if u love me u should have some expenses for me
na nikitaka sex je
Ha ha ha ha haaa,we mwanamke weeeaiseeee....basi mguu kwa mguu kuangalia salio na kama anadanganya nampiga chini mapema
Ha ha ha ha haaa,we mwanamke weee