miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Ni aibu kijana kufa maskin saka pesa kwa jasho hata kama ni kwa mtutu wa bunduki ww saka tu. Mpaka kieleweke,.
Pesa ndio sabun ya roho pesa ni aman ya moyo,
pesa ndiyo kila kituuu loh
Ni aibu kijana kufa maskin saka pesa kwa jasho hata kama ni kwa mtutu wa bunduki ww saka tu. Mpaka kieleweke,.
Pesa ndio sabun ya roho pesa ni aman ya moyo,
pesa muhimu weweeeeeee mtu kajikalisha kibarazani asubuhi mpaka jioni binti mimi naenda kusaka chapaaa lile tabasamu analonipa ni la mtongozo namsubiria tu ajichanganye atajuta kutamka maneno hayo
Mwanaume majukumu bwana
wanawake wengine bana wewe umeanzaje tu kuhisi anakutaka lol.?
Pesa muhimu lakini sio kwaajili ya kuhonga watu kama wewe.
nauza sipo tayari kulelea jianaume kama unasimamisha .. jua kusimamisha hadi uchumi wako si kukaa kibarazania aiii
Unajuaje?Mwanaume ukitaka kutoa mtongozo najua kabla ya na kama wa kupita nahisi .... pesa sihitaji unihonge ila nahitaji uwe nazo kusongesha maisha ... jianaume la kujua kitanda tu kusubiria kulelewa siwezi nakukimbiza
Nipewe na nani? ili iweje?Ila wewe ndo uwe unapewa
Mwambie siuzi wala sitoi bure.
Unajuaje?
Kama ni swala la kunogesha maisha tu wewe zinakuhusu nini pesa za mwanaume mpaka uzitolee macho? au unaleta za sungura sitaki mbichi hizi.
Kwanza mi nikifuliaga hata saundi za mitongozo zote zinakata 🙂
Nimesahau nikikumbuka nitarudi kukuambia.:cool2:Wapi...
Mwanaume asieyejua kutafuta pesa ana alama gani? halafu hakuna mahala nimesema nahitaji kuelelewa.Mie siongei na wanaume wasiyojua kutafuta hela kama wewe wapo wanawake wa kukulea. Mimi HAPANA MWANAUME PESA
Mwanaume asieyejua kutafuta pesa ana alama gani? halafu hakuna mahala nimesema nahitaji kuelelewa.