Vijana wa kiume amkeni tafuteni hela

Vijana wa kiume amkeni tafuteni hela

Rich ladie walimegwa na wamachinga kwa sababu walikuwa nazo na waliweza kuwahonga....imagine mtu kama mimi nakuwa na mtu wa kuniomba na hela tena khaaaa..... Af kitu kingine umeshasema wamachinga...ni wazi walikuwa wanajishughulisha ndio maana wakaitwa wamachinga. Imagine dume linakaa ndani kwa baba kazi kubadilisha channel tu kwenye king'amuzi alicholipia baba...aseeee....kama una uwezo wa kugegeda unashindwa kufanya kazi???? Hapana kwa kweli...semeni vyovyote lakini dume linalolelewa ni tatizo kabisa aiseee

It's a 50-50 game...! wengi wenu siku hizi ni gold diggers, you want to reap where you didn't saw..!
Mnapenda kukutana na vijana wenye navyo tayari, kwa hiyo muwaache hao vijana wanaoishi kwa kutegemea wanawake..! It's unfair lakini ndivyo mlivyo pia..tena wengi wenu..!
 
Na ninyi pia mutuwache....wewe unatuita gold diggers lakini kuna mwanaume anachukulia kuhudumia girl wake kama sehemu ya wajibu wake.... Just be urself. Kwangu mimi mwanaume ambaye hana future big no....ana miaka 27 bado anakaa kwa mama uwiiii....samahani kwa kweli
 
asanteee mwanaume pesa..... kuna huyo mkongo maeneo ya kwetu kiswahili hawezi kiingereza hajui aubuhi niipita yupo jioni nikirudi yupo,... anajileta leta sijui anadhani nitamlea namsubiria tu ajichanganye kudadeki nitamtoa nduki labda aje na bank statement aisee

Na hao wakongoman wanavyopenda kulelewa ni soo si ajabu kashashitukia wewe ni mgodi unaotembea
 
Na ninyi pia mutuwache....wewe unatuita gold diggers lakini kuna mwanaume anachukulia kuhudumia girl wake kama sehemu ya wajibu wake.... Just be urself. Kwangu mimi mwanaume ambaye hana future big no....ana miaka 27 bado anakaa kwa mama uwiiii....samahani kwa kweli
Kuhudumia sio tatizo, shida ni kuhudumia wapita njia...!
Kabla sijaoa, nawaza maisha yangu, sio ya mtu wa kupita...
Nikiwa na mke, ni jukumu langu kuhakikisha ana mahitaji yote..!

Nyie wadada ndio mnawafanya vijana wakose direction za maisha...
Unajua kipato chake kidogo lakini huishi kumpiga mizinga ya laki mbili..tatu..!
Unategemea nini...!
 
yote haya ni umasikini tu unaleta shida nashauri wanawake kwa wanaume kila mmoja atoke na class yake
 
Sasa Eli79 mtu anayenunuliwa boksa na mama utampiga mzinga wa vipi? Af kama huwezi kuhudumia mpenz kama mke mbona weye wataka kuhudumiwa kama mume?? Af nimeshtuka....we ndo huyo kijana wa nyumba ya tatu nini....???? Nakusaka mpaka nikuone.
 
Last edited by a moderator:
yote haya ni umasikini tu unaleta shida nashauri wanawake kwa wanaume kila mmoja atoke na class yake

Maisha ni kitendawili hakuna mtu mwenye class ya kudumu. Class yako ya leo inaweza isiwe class yako ya kesho. No excuse chakarika kijana
 
Halaf msipende kuendekeza Sana tabia ya kuhudumiwa try to make your own money you will be respected hata nikikupa it's just for love isiwe Kama sheria na Si cash Tu sometimes Zawadi Na vitu Kama hizo.wakeup girls
 
Teh teh katika wote waliocomment kwenye huu uzi umeona kuna mtu anaonesha walau dalili ya kutegemea hela za kupewa na mwanaume....????
 
Maisha ni kitendawili hakuna mtu mwenye class ya kudumu. Class yako ya leo inaweza isiwe class yako ya kesho. No excuse chakarika kijana

Unaonekana unapenda kulelewa sana lakin jifunze kuwa independent utafurahia maisha binti niliposema kuwa Na mtu class yako nilimaanisha kuacha tamaa yakuwa Na mtu mwenye pesa. Asante kwa kunishauri Ni struggle
 
asanteee mwanaume pesa..... kuna huyo mkongo maeneo ya kwetu kiswahili hawezi kiingereza hajui aubuhi niipita yupo jioni nikirudi yupo,... anajileta leta sijui anadhani nitamlea namsubiria tu ajichanganye kudadeki nitamtoa nduki labda aje na bank statement aisee

I need to know you..
Cc; Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Unaonekana unapenda kulelewa sana lakin jifunze kuwa independent utafurahia maisha binti niliposema kuwa Na mtu class yako nilimaanisha kuacha tamaa yakuwa Na mtu mwenye pesa. Asante kwa kunishauri Ni struggle

Sikatai huenda napenda kweli...hivi kuna mtu hapendi vya bure...nadhani kwa sababu sijabahatika kumpata huyo wa kunilea ndio maana najitahidi kubangaiza...
 
Tulitongoza bila senti mfukoni, tulimega bila senti mfukoni..then tukasepa...!
..Nyie mnaoongozwa na pesa mtamegwa tu, then mkishtuka mtaona vumbi tu..!
filthy rich ladies have been laid by matching guys(machinga) for years, who are you not to....!

Jipe imani tu. No money no honey.
 
Back
Top Bottom