White, Black Yellow, yote mapenzi, haijalishi rangi..acheni kuufanya kama big deal..huo ni upumbavu..makaka zetu nao wakianza kuoneeshana wake zao wazungu patakuwa hapatoshi, infact i am glad kwamba wanawake wanaangalia na pengine kupata mwenzi wa ndoa, kwani kawasababu makaka zetu weeeeengi saaaan huko nje wameoa wake wa kizungu, wengi mno lakini kwasababu wao ni wanaume na hawaendekezi upumbavu huwaoni kwenye mablogu wakiwatangaza wake zao eti wazungu...sasa hapo ndo tatizo linapoanza
Tatizo ni, hawa wanawake wanapenda waonekane eti niko na mzungu, bwana wangu mzungu ana pesa..nyakati za Ukoloni, Wakoloni waliwapiga Wanaume wa kiafrika mbele za wake zao na watoto wao ili waweke wanawake Fikra za kwamba waume zao hawana thamani na hawawezi kuwa-protect au kukidhi mahitaji yao na kwamba wao wakoloni wako juu zaidi, hiyo iliaffect sana wanawake..lakini sio wote..naona madhara yake ndo haya kwamba mtu akiolewa na mzungu anaona kama Ame-wini...hayo ni mawazo ya kikoloni,huyo ni mwanaume tu wa kawaida, kama mimi kama wewe..cha tofauti rangi...Dada zetu msiwe wapumbavu
Pia Dada zetu wa kibongo wanapenda pesa hwapendi kazi, wanapenda starehe sasa akiona mzungu tuu anaona kama pessaa hiyo, Mwanaume akikuchoka starehe zako pesa huingizi mzungu keshazoea 50 50 utabanwa