Vijana Wa Kitanzania Msipojijengea Kawaida ya Kuthamini Dada Zenu, Wote Wataishia Kuolewa na Wazungu

Jamani si kila mwafrica ni mbaya na pia si kila mzungu ni mbaya. Inategemea na mtu mwenyewe. Upendo ndio kitu cha muhimu. Pia ukipenda ukaumizwa ni vigumu kurudia pale ulipoumizwa ndio maana tuishia kwenda na wazungu.
 
kuku kuku jogoo jina...hao wazungu wenyewe full misukosuko mapenzini...EVERY FINISH LINE IS A BEGINING OF NEW RACE...chagua moja kusuka au kunyoa...kukata gozi au ukae na mkono wa sweta.... na usiombe mzungu akujue uliumizwa na black mwenzio ndio umeamia kwake...UTAMKOMA KURINGA
 
White, Black Yellow, yote mapenzi, haijalishi rangi..acheni kuufanya kama big deal..huo ni upumbavu..makaka zetu nao wakianza kuoneeshana wake zao wazungu patakuwa hapatoshi, infact i am glad kwamba wanawake wanaangalia na pengine kupata mwenzi wa ndoa, kwani kawasababu makaka zetu weeeeengi saaaan huko nje wameoa wake wa kizungu, wengi mno lakini kwasababu wao ni wanaume na hawaendekezi upumbavu huwaoni kwenye mablogu wakiwatangaza wake zao eti wazungu...sasa hapo ndo tatizo linapoanza
Tatizo ni, hawa wanawake wanapenda waonekane eti niko na mzungu, bwana wangu mzungu ana pesa..nyakati za Ukoloni, Wakoloni waliwapiga Wanaume wa kiafrika mbele za wake zao na watoto wao ili waweke wanawake Fikra za kwamba waume zao hawana thamani na hawawezi kuwa-protect au kukidhi mahitaji yao na kwamba wao wakoloni wako juu zaidi, hiyo iliaffect sana wanawake..lakini sio wote..naona madhara yake ndo haya kwamba mtu akiolewa na mzungu anaona kama Ame-wini...hayo ni mawazo ya kikoloni,huyo ni mwanaume tu wa kawaida, kama mimi kama wewe..cha tofauti rangi...Dada zetu msiwe wapumbavu
Pia Dada zetu wa kibongo wanapenda pesa hwapendi kazi, wanapenda starehe sasa akiona mzungu tuu anaona kama pessaa hiyo, Mwanaume akikuchoka starehe zako pesa huingizi mzungu keshazoea 50 50 utabanwa
 
Ebwana eeeh kama ulikuwepo akilini mwangu.........Jamaa huwa simwelewi samtimez
siongei na washika pembe.....wenzako wanakamua.....afu dogo unaikngai anga zangu eeh???? unataka ndizi nyama naona
 
u wanna an easy way to make a thousand dollars?? suck my 7 inches cock

Suck your own micro dick you faggot ass gay mother****er. And you can add the cherry on top by tossing your own salad. Now take that you man bitch you.
 
Hivi kwa nini inakuwa fahari kwa mwanamke mweusi wa kiTanzania kuolewa na mzungu, utakuta picha na mashauzi kibao kwenye blogs... mbona kuna waTanzania wengi weusi wanaume wameoa wazungu na sioni wakijishaua kwenye blogs?! Hii ikoje?
 
Suck your own micro dick you faggot ass gay mother****er. And you can add the cherry on top by tossing your own salad. Now take that you man bitch you.
u're an insult upon insults of a booble on an ass
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom