Nimekutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2023
4,694
6,396
Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana.

Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni.

Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa wenyeji wake ni Waha. Namaanisha Kigoma.

Hao vijana wa Kisukuma, ambao kwa makadirio ya umri walionekana kuwa walizaliwa miaka ya elfu mbili hivi, walikuwa wamevaa hereni na mibangili mingi.

Nulipowauliza watu wanaoishi karibu nao (majirani zao ni Waha na Wasumbwa, wote wapo Kakonko Kigoma), nilielimishwa kuwa kwa Wasukuma kuvaa hereni na mibangili mkononi, ni ishara ya utajiri wa ng'ombe.

Si kila kijana wa Kisukuma anaruhusiwa kuvaa hivyo. Ni yule tu ambaye kwao kuna utajiri wa ng'ombe. Namna ya uvaaji wa mibangili mkononi na miguuni huonesha kiwango cha utajiri wao. Kwa uvaaji tu wa mibangili, unaweza ukajua idadi ya ng'ombe waliyo nayo kama ni maelfu ya ng'ombe n.k.

Labda, wakati mwingine, wasanii wa Tanzania wanaovaa hereni hawajaiga Wazungu bali wanadumisha utamaduni wao wa asili.

Kwani kuna mtu aliyekuwa anajua kuwa kuna vijana wa kabila la Wasukuma wanaovaa hereni masikioni?
 
Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania... na kweli sikusita kuamini kwa reference ya rafiki zangu wawili chuo.

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu, otherwise niambiwe kua kua Kuna ukanda na ukanda.

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,

Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo lakini nilishuhudia hayo, Bariadi na Itilima kwa wanaowaita sijui wanyantuzu.

Halafu muache Ku Puu hovyo nje.
Potelea kote, lawama hapewi mbuzi, nirogeni na humu.
 
Mie siku ya Kwanza kuwaona porini huko Mpeta,uvinza na mashuka Yao meusi nkajua nimekutana na wachawi,kwenda senta wamejazana wanakula miwa na matikiti. Nikamvuta mwenyeji wangu pembeni nikamuuliza vipi huku kwenu mbona wachawi hawajifichi....
Alicheka Sana na baada ya kicheko akanipa elimu.
 
Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania...

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu,

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,
Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo.

Suala la Ushamba Hilo siwezi lizungumzia as long halikunikera katika interactions nao zaidi ya kua fursa.
Kule Geita eneo linaitwa Nyarubere kama sijakosea waliwawekea sumu kwenye maziwa wamisionari enzi zile za kueneza ukristo wale jamaa walikufa kama kuku wa mdondo .

So naunga mkono hoja yako kwa tukio lile .
 
Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania...

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu,

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,
Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo.

Suala la Ushamba Hilo siwezi lizungumzia as long halikunikera katika interactions nao zaidi ya kua fursa.
Huo ni uongo mkuu, wasukuma unaowasema wewe no wasukuma wa karne ipi?

Mm ni mkazi wa morogoro nipo mwanza huu ni mwaka wa 5 sasa na shughuli zangu nyingi ni za kuzunguka vijijini ila sijawah hata siku moja kukutana na hiko unachosema

Binafsi na kubishia na nitaendelea kukubishia mpaka mwisho

Nimetembea karibu tanzania nzima, hakuna watu wa karimu dunian kama wasukuma
 
Mie siku ya Kwanza kuwaona porini huko Mpeta,uvinza na mashuka Yao meusi nkajua nimekutana na wachawi,kwenda senta wamejazana wanakula miwa na matikiti. Nikamvuta mwenyeji wangu pembeni nikamuuliza vipi huku kwenu mbona wachawi hawajifichi....
Alicheka Sana na baada ya kicheko akanipa elimu.
Mpeta Wamejaa
 
Kama utamaduni ni utajiri, Tanzania inao mwingi sana.

Nilikuwa nafahamu kuwa ni sehemu ya utamaduni wa Kimasai wanaume kutoboa masikio. Ndiyo maana nilishangaa nilipokutana na vijana wa Kisukuma wanaovaa hereni.

Hata mahali nilikokutana nao ni mshangao pia. Ni mkoa ambao unaojulikana kuwa wenyeji wake ni Waha. Namaanisha Kigoma.

Hao vijana wa Kisukuma, ambao kwa makadirio ya umri walionekana kuwa walizaliwa miaka ya elfu mbili hivi, walikuwa wamevaa hereni na mibangili mingi.

Nulipowauliza watu wanaoishi karibu nao (majirani zao ni Waha na Wasumbwa, wote wapo Kakonko Kigoma), nilielimishwa kuwa kwa Wasukuma kuvaa hereni na mibangili mkononi, ni ishara ya utajiri wa ng'ombe.

Si kila kijana wa Kisukuma anaruhusiwa kuvaa hivyo. Ni yule tu ambaye kwao kuna utajiri wa ng'ombe. Namna ya uvaaji wa mibangili mkononi na miguuni huonesha kiwango cha utajiri wao. Kwa uvaaji tu wa mibangili, unaweza ukajua idadi ya ng'ombe waliyo nayo kama ni maelfu ya ng'ombe n.k.

Labda, wakati mwingine, wasanii wa Tanzania wanaovaa hereni hawajaiga Wazungu bali wanadumisha utamaduni wao wa asili.

Kwani kuna mtu aliyekuwa anajua kuwa kuna vijana wa kabila la Wasukuma wanaovaa hereni masikioni?
Siyo hereni tu hadi sketi wanavaa kabisa hao wasukuma ni hatari wakiwa porini ni kama Simba ukiingia anga zao wamekumaliza wanaoga maziwa na mkojo wa ng'ombe wana shombo la hatari.
 
Huo ni uongo mkuu, wasukuma unaowasema wewe no wasukuma wa karne ipi?

Mm ni mkazi wa morogoro nipo mwanza huu ni mwaka wa 5 sasa na shughuli zangu nyingi ni za kuzunguka vijijini ila sijawah hata siku moja kukutana na hiko unachosema

Binafsi na kubishia na nitaendelea kukubishia mpaka mwisho

Nimetembea karibu tanzania nzima, hakuna watu wa karimu dunian kama wasukuma
Wapo
 
Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania...

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu,

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,
Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo.

Suala la Ushamba Hilo siwezi lizungumzia as long halikunikera katika interactions nao zaidi ya kua fursa.
Mkuu, umekosea na waliokuaminisha nao walikosea. Tabia ya mtu haina uhusiano wa moja kwa moja na kabila lake.

Kuna Wasukuma wakarimu sana na kuna Wasukuma wachoyo mno. Nimeshakutana na Wasukuma wa aina zote hizo, wachoyo na wakarimu.

Uchoyo na ukarimu wa mtu unategemeana na makuzi yake. Haichochewi na vinasaba bali makuzi.

Kuna wanaosema Wapare ni wabahili lakini hilo halina ukweli. Nimeshaishi na Wapare, nawafahamu.

Kuna wanaodai kuwa wanawake wa Kimachame wana tabia ya kuwaua waume zao lakini huo nao ni uongo uliopitiliza. Ingelikuwa kweli Mzee Sumaye asingekuwa hai.

Kuna wanaomini Waha ni wabishi lakini huo nao ni uongo. Si kila Muha ni mbishi.

Kwa hiyo mkuu, hata kwa Wasukuma, kuna wachoyo na kuna wakarimu. Kuna wachawi waliokubuhu na kuna "watakatifu" safi kabisa.
 
Huo ni uongo mkuu, wasukuma unaowasema wewe no wasukuma wa karne ipi?

Mm ni mkazi wa morogoro nipo mwanza huu ni mwaka wa 5 sasa na shughuli zangu nyingi ni za kuzunguka vijijini ila sijawah hata siku moja kukutana na hiko unachosema

Binafsi na kubishia na nitaendelea kukubishia mpaka mwisho

Nimetembea karibu tanzania nzima, hakuna watu wa karimu dunian kama wasukuma
Kweli amedanganya.
Banataka kuuchanganya ukweli, kukidhi ajenda na maslahi yake na wengine humu. Senepal gratuui.
 
Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania...

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu,

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,
Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo.

Suala la Ushamba Hilo siwezi lizungumzia as long halikunikera katika interactions nao zaidi ya kua fursa.
Wasukuma ukitaka uwachote jifanye nawe Msukuma. Kwa kuwa kabila ni kubwa we ukienda Sumve kule waambie ni Msukuma wa asili ya Chato hawapajui kabisa.

Nilikutana nao wilaya ya Malinyi kule Morogoro ndani ndani uko wako wengi nikajifanya mwenzao, bila hivyo sikuwa na competitive advantage. Na ukienda kwao jua maneno mawili matatu ya Kisukuma huku unamlaumu baba yako Msukuma (mama kabila lingine) kutokukufundisha kilugha vizuri.

Nilisoma nao shule wanapenda kilugha na undugu kuna dorms walihodhi wao, dorm #26 ni la Wasukuma wanarithishana ukienda kabila lingine utahama tu, kwanza wanaongea kilugha alafu kelele kibao hadi usiku. Ugomvi wa chakula, kuongeza msosi "round two", kulilia matunda na nyama, na kuwa mess movers ni wao.

Hata hivyo huwa hawafanani tabia na haa wao wenyewe wanakwepana, wale wa Bariadi naona Wasukuma wenzao wanawakwepa.
 
Nje ya Mada.

Jamii ya kisukuma ni jamii ambayo Kipindi niko chuo niliaminishwa kua ndio watu wakarimu na wenye upendo sana tanzania...

Huu ni moja ya uongo mkubwa zaidi kushuhudia maishani mwangu,

Wale watu wanaroho mbaya, Wachawi, Wezi, na Wasiopenda wageni kufanya lolote, Jamii ambayo ukifika kwao usipomsalimia kisukuma anakuchukia,
Jamii ambayo wanataka mgeni umnyenyekee...,
Otherwise mni prove wrong kua kuna wa maeneo na maeneo.

Suala la Ushamba Hilo siwezi lizungumzia as long halikunikera katika interactions nao zaidi ya kua fursa.
ulishafika maeneo yapi ya usukumani? Fafanua hapo kwenye kunyenyekewa? Wasukuma uchawi na imani hizo ni kwa watu wote wa vijijini ila msukuma halogi kwa kuonea. Mengine ni hulka ila sio ubaya, msukuma ni mtu cautious sana hasa kwa asiye msukuma, ndio huwa na amani pale stranger akizungumza lugha yake. Uchoyo msukuma hana, sababu ni mzalishaji na mambo ya bajeti hana.
 
Back
Top Bottom