Vijana wa kitambo chetu

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tena ninavyopenda kuweka wazi umri wangu.
Natamani hata nidanganye niweke nilizaliwa zamani, natamani ukubwa mnoo.
Ukifika 30 utajua badala ya kuwaza kuongeza umri utaanza kuwaza kupunguza.

Ila 3rd floor ikiingia tu inaingia na mabadiliko hadi ya sura. Sura inabadilika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hapo ndio sunscreen utazijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ