Vijana wa kitambo chetu

Aisee, kumbe umezeeka sana bana
 
Yaani mkuu umenisema mimi kila kitu. Usikute vijana wote wa umri huo maisha yetu yanafanana 🤔
 
Bado minne 🤔
 
Unanisema mkuu, niko
Pole sana dogo shikilia hapohapo usikate tamaa, giza likizidi kunakaribia kupambazuka
napambania sana na ninaamini nitatoboa. Sema mkubwa mimi sio dogo nina 30+ ni old enough
 
Mi naamini katika Rika zaidi kuliko Umri, Ukifuatilia Miaka stress zinakua nyingi na changamoto zisizoisha za kila siku maana utaishi kujilinganisha na wenye umri kama wako kumbe kirika unaweza jikuta upo miaka 10 nyuma ya uliyonayo na ukapata nguvu yakuendelea kuipambania kesho yako.
 
Bangladesh imeiomba India kueleza msimamo wake kuhusu mpango wa aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo, Sheikh Hasina kuhutubia kwa njia ya mtandao akiwa New Delhi, ikisema kuruhusu shughuli za kisiasa za kiongozi anayesakwa kunaweza kuathiri uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Bangladesh imekuwa ikiomba India imrejeshe Hasina tangu alipokimbia nchi mwaka 2024. Hasina anakabiliwa na hukumu ya kifo kwa tuhuma za uhalifu dhidi ya binadamu na ufisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…