Vijana wa kiafrika na vizee vya kizungu

ukiwa tayari kuwa mtumwa, hata mavi utakula, vijana wenzetu hawana confidence, mwisho wake wanalishwa chochote, kama ni mzembe popote uishi Duniani hautafanikiwa, kwasbabu unajisahau kiulaini sana na unapenda short cut na dezo sezo. Mwisho sioni sababu ya kimsingi ya Vijana wetu kufanya hivyo, ni woga wao tu.
 
Kuoa mzee ni noma sana kwani huwezi kumkunja wala kumshikisha tendegu la kitanda pia hawezi hata kutoa sterial sound ni shida kweli kweli unaweza ukalambishwa tiketi ya maafa. te te te teeeeee
 
Kuoa mzee ni noma sana kwani huwezi kumkunja wala kumshikisha tendegu la kitanda pia hawezi hata kutoa sterial sound ni shida kweli kweli unaweza ukalambishwa tiketi ya maafa. te te te teeeeee
mh! kazi kweli kweli! vp kuhusu waliolewa na wazee nao inakuwaje.
 
Hii habari inaendana kabisa na HII HAPA ambayo tulishaijadili siku za nyuma kidogo. Mnaweza kupata mrejeo.
 
Nyie mnaotetea haya 'mapenzi' lazima mtakuwa wahanga wa kupenda mteremko..lol
 
Wana JF, naweza kupata ufafanuzi ni kwanini ughaibuni vijana wengi wa kiafrica wameoa/wameolewa na VIZEE vya kizungu?? Au ndio matunda ya SEX TOURISM inayoendellezwa na VIZEE huku AFRICA???
Ni kwa sababu Waafrika wanajua kazi ya kuwaridhisha wanawake wa kizungu ambao waume zao ni wavivu sana kitandani. Na pia ni njia mojawapo ya kujihahakishia kuendelea kuishi ughaibuni
 
Sioni ubaya wowote wa mtu kuolewa au kuoa kizee cha kizungu. Huo ni uamuzi wa mtu. Na si kila mtu ana oa au kuolewa na kizee kwa sababu ya makaratasi.
wengine jamani wana mapenzi ya kweli, wazungu wanajua kucare na wanajua kupenda kwa kumaanisha. Age is just a number.
kumekucha
 
Back
Top Bottom