Vijana wa enzi zile

Vijana wa enzi zile

Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.

Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.
Degree ya kwanza au ya pili?
 
Wengine tulikuwa kwenye ajira NBC..hahaha...ukarani ulikuwa unalipa enzi hizo, totoz hazina hiyana, totoz zina heshima na siyo za kudanga kama leo, kina CMG wako moto na kupiga miziki kwenye parties, mashuleni, maharusi n.k. n.k., pool side Kilimanjaro hotel inawaka, bills balaa, California Dreamer usiombe, ilikuwa hatari..
 
Usisahau Ushirika “Magot”.
 
Sky Eclat yaan hiyo avatar ya huyo mama uliyoweka inanifanya kila nikiiona nadindisha tu
 
Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.

Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.
Wengine tumecheza breakdance Mbowe,though tulikuwa tunalazimisha labda the so called "boogie" iliyokuwa inaisha saa moja ndiyo ilikuwa yetu.
 
IMG_20190311_194953_562.JPG
hawa jamaa miaka ya 71 / 72 walikuwa wananikosha kweli kweli
 
Back
Top Bottom