Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.Sky Eclat huwezi amini 92 nilikuwa mhenga ila mambo yalikuwa mengi. Nilikuwa ofisi ambayo kutoka shida na bara hivyo yalinipita. Nakumbuka nilikuwa nikienda Dar nawapeleka watoto wa dada na wa kwangu Kibisa pale Magomeni. Kulikuwa na waigizaji wanachekesha na ngoma pia.
Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.
Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.
tafadhali 92 ulikuwa chuo?Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.
Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.
Kulikuwa na Kibisa ngoma troupe pia
Zaidi ya nyie, zamani raha sanaWrite your reply...daah sasa na nyie wahenga mlikuwa mnabambiana kama sie au??
Usiwachungulie wazee !!. Pita kimya kimya [emoji12][emoji3][emoji23][emoji1787]
92 Niko F6. Mkuu wewe kweli Mhenga.Sky Eclat huwezi amini 92 nilikuwa mhenga ila mambo yalikuwa mengi. Nilikuwa ofisi ambayo kutoka shida na bara hivyo yalinipita. Nakumbuka nilikuwa nikienda Dar nawapeleka watoto wa dada na wa kwangu Kibisa pale Magomeni. Kulikuwa na waigizaji wanachekesha na ngoma pia.
Wewe Dada yangu.Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.
Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.
Nilienda mara moja Billicanas wakati wa kurudi na mme wangu tukakamatwa eti mimi changu, wee nilizikunja na mjeda mpaka wenzei wakaingilia kati. Afande katukuta tunazikunja huku mme wangu anatutenganisha. Baada ya kuonyesha kitambulisho yule mjeda aliwekwa kwenye kalandinga that was the first and last time.Wale wachekeshaji wa Kibisa wengine ni kama Mzee Majuto (marehemu), Bi Chau na marehemu mzee Small.
Hapa mimi nilikuwa chuo ndiyo damu inachemka. Billicanas ndiyo imefunguliwa kutoka Mbowe Club.
Haha hata magwanda nilishatupa na kazi za paye nilishaacha zamani. Bado nakumbuka check no. yangu lakini ingawa nilijongo.
Shkamoo Dada NiahHaha hata magwanda nilishatupa na kazi za paye nilishaacha zamani. Bado nakumbuka check no. yangu lakini ingawa nilijongo.