Vijana wa bongo na papuchi za kizungu

Kidasa

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
309
108
Ni wakati muafaka wana JF Kujadili hili jambo:Mimi nipo A-Town kikazi, juzi nilikuwa napata lunch katika mgahawa mmoja upo maeneo ya CLOCK TOWER.Tutakawa tumekaa meza moja na kijana mmoja huku tunaendelea kupata menu,ghafla akatokea kijana mmoja ambaye walipotezana kama mwaka na huyo table mate wangu.Kwa kweli niliinjoi kwa stori zao walizokuwa wanazipiga.
Table mate wangu:Ni kijana ambaye sasa hivi ameamua kutumia fursa vizuri baada ya kugegeda papuchi kibao za kizungu na hatimaye akaweza kuzichota za kutosha hivyo kuweza kufungua kampuni yake ya Kitalii.Baada ya kuifungua kampuni yake na kwa vile network yake kwa wazungu ni nzuri,kampuni yake imeweza kufanya vizuri ndani ya mwaka mmoja na nusu imetengeza turnover(Sales) ya zaidi ya milioni 800.Huyu mate wangu ameamua kutulia na kutafuta nyapu moja ya kiswedeni na kuiweka ndani(Kuoa).In short anazigegedaga za nje kidizaini lakini sio kama zamani.
FRIEND WAKE MATE WANGU:Ni play boy mmoja nzuri wa kugegeda ngozi nyeupe,na amekuwa akizipanga foleni jinsi anavyotaka yeye,zenyewe zinajipeleka kwake,tatizo la huyu jamaa anashindwa kutumia opportunity vizuri(Fursa) anaweza akawachezea usanii within one month akatengeza dolla zaidi ya 50,000/= lakini zote zinaishia kuponda starehe.Huyu jamaa kwa sasa kamwoa mholanzi na ana mtoto mmoja na huyo mholanzi,na alipokuja hapo alikuwa na siku kama tatu tangu atue bongo.Jamaa anadai mholanzi anampa stress kwani anamchunga sana,kitendo cha kuja Bongo amejihisi kama yupo peponi,ili azigegede za kutosha na ikiwezekana ampige mholanzi chini atafute kifaa kipya ambacho hakina Stress.
Kwa kweli nilipata wasaa wa kumshauri jamaa juu ya kutulia na kuhakikikisha anatumia hizo fursa vizuri ili kujijenga kimaisha na kusaidia familia yake na Taifa lake.Anadai Mholanzi ana hela sana tatizo lake tu ni hilo la wivu na kumchunga.Akimpa business idea ambayo ni nzuri mholanzi hapingi.NIKAJIULIZA KWELI PENYE MITI MINGI HAKUNA WAJENZI.
Ndugu zangu vijana ambao mpo katika hali ya kufuga nywele, kuzidread au kuzifanya rasta,mna weusi halisi wa kiafrica,na mnaweza kuzungumza kiingereza kwa ufasaha,mna body kidogo ya mazoezi mjue nyie ni LULU ya hizi ngozi nyeupe tumieni fursa vizuri kujijenga kimaisha na hatimaye kukomboa familia zenu.
 
Back
Top Bottom