Vijana mnaoishi nchi za wazungu kuweni makini na wanawake wa huku

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna wanawake wengi katika nchi za wenzetu hizi baada ya kuona pesa imekuwa ngumu kupata wameingia kwenye biashara ya kuzisaka kwa njia ya udanganyifu kijana mwenzangu ambaye unaishi USA , Canada , na nchi zingine za wazungu tambua uku mwanamke ni mfalme.

Ukiona mwanamke yeyote wa kizungu au mweusi au wataifa lolote ambaye anaishi huku ameanza shobo zake and you don’t her.

Fikiria mara laki mbili kabla ya kuchukuwa maamuzi ya kuteleza naye
Utakuja kunishukuru. Wanawake wa huku hasa wazungu wamekuwa na tabia ya kuzaa na wanaume weusi alafu wanaamua kukuacha kwa kesi yeyote ile ndugu yangu tambua hapo umekwisha.

Kama una nyumba ambayo umenunua kwa pesa zako nyumba hiyo sio yako tena na kwenye mshahara wako kuna nusu yake. Kwa hiyo wanawake wengi wa huku wamekuwa na mchezo huo sana baada ya kuona maisha yamekuwa magumu kwa sasa wanaishi kwa style hiyo wanaume wengi weusi huku wamekuwa homeless sababu kubwa ni wanawake wao jifanye super star.

Nakushauri kijana mwenzangu ukitaka kuoa nenda Afrika tu kutafuta mwanamke ambaye anaweza kuwa mke au tafuta mwanamke huku mwenye akili zake.
 
kwanza wazungu (kwa kawaida) hawapendi watu weusi ukiona mzungu kaoa/lewa na mwafrika mweusi ujue huyo ni wale wazungu altenatives, defination ya mzungu ya beauty ni nyingine, hivyo kwa mzungu mwafrika siyo beautiful …
 
Kuna wanawake wengi katika nchi za wenzetu hizi baada ya kuona pesa imekuwa ngumu kupata wameingia kwenye biashara ya kuzisaka kwa njia ya udanganyifu kijana mwenzangu ambaye unaishi usa , Canada , na nchi zingine za wazungu tambuwa uku mwanamke ni mfalme
Ukiona mwanamke yeyote wakizungu au mweusi au wataifa lolote ambaye anaishi uku ameanza shobo zake and you don’t her
Fikiria mara laki mbili kabla ya kuchukuwa maamuzi ya kutereza naye
Utakuja kunishukuru
Wanawake wa uku hasa wazungu wamekuwa natabia ya kuzaa na wanaume weusi alafu wanaamua kukuacha kwa kesi yeyote ile ndugu yangu tambuwa hapo umekwisha
Kama una nyumba ambayo umenunua kwa pesa zako nyumba hiyo sio yako tena na kwenye mshaara wako kuna nusu yake
Kwa hiyo wanawake wengi wa uku wamekuwa na mchezo huo saana baada ya kuona maisha yamekuwa magumu kwasasa wanaishi kwa style hiyo wanaume wengi weusi uku wamekuwa homeless sababu kubwa ni wanawake wao jifanye super star
Nakushauri kijana mwenzangu ukitaka kuoa nenda afrika tu kutafuta mwanamke ambaye anaweza kuwa mke au Tafuta mwanamke uku mwenye akili zake
Diaspora lakini hujui kuandika !!!
 
Back
Top Bottom