Vijana wa Arusha kama Black America

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ARUSHA GAN UNAZUNGUMZIA??
 
Kumbe wanaume hampendi wenzenu wasifiwe eehe poa nimewaelewa
Wewe tusifie tu machalii acha jf waendelee kutuwaza ila haina njox wala nini ntawaambia machalii tukupende mamalai.[emoji23][emoji23]
 
Wale mateja na wavaa mitumba ndio unasema wanajua kuvaa?
 
Nimecheka sana aisee unavo mualert jamaa, huko alipo amepata moto, this time around yuko kama kafungiwa bandani kwenye zoo, no go area. No space to interact kwa kutukana wala kuhide coz his documents is under control.
 
Bado unamjambisha tu 😅😅😅👏👏👏👏 nazidi kucheka this man seems to trust them kwa fact kwamba yuko na contacts zao which is necessarly not a deal kama ukimuhada mtu wa official na ukawa huku jf.

kama ulivosema hili jukwaa wako watu wa usalama 24/7, if you release out bads you will be suspected in second just a matter of few seconds you will be under arrested by the officials.

Siasa za bujibuji ziko matatani 👏👏😅😅 na hii ni baada ya kusend his own approval documents to Melo and the rest who did this task 😅😅 Watanzania ni wasahaulifu sana njoo mchome chanjo ya UVIKO 19 mnaenda kuchoma na miwatu ni under 30 Libinti halina hata dalili za kutema mate she is not have even a single kid.
 
Alafu utakuta wewe ni mwanaume sasa!!!daa tanzania yanguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepita mitaa gani wewe? njoo huku Kijenge juu.
 
Mimi naongea kiarusha Arusha but vaa yangu ni different sana
 
Mimi mwenyewe ni WA Arusha, vipi nije PM???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…