Nasiche
JF-Expert Member
- Jun 18, 2019
- 291
- 735
Mimi mchaga wa Marangu ,ila nimezaliwa Dar kukulia dar mpaka Leo naishi Dar,Kazini nimepata kasafari Ka kuja Arusha Mimi nahisi nitagongwa na Magari
Vijana wa huku kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.
Nawapongeza sana.
Vijana wa huku kama Mablack America flani hivi, wanavaa vizuri sana nguo org viatu vya kisure sana, haki sijakutana na mtu aliyevaa shati ya dukani.
Nawapongeza sana.