Vijana video za X sio njia nzuri ya kujifunzia mapenzi

1:mazoezi..especially ya core...na kegels(inasaidia stamina ya kiuno kisichoke...kegels exercise kufanya erection katika ubora wake)
2:kula vizuri:
3:kula mixer ya tangawizi,,vitunguu swaumu na asali

4:make money

Hii namba NNE muhimu zaidi maana kwa umri wetu sisi vijana ukiwa huna hela yote hapo juu huwezi kuyatekeleza kwa ufanisi maana unajua stressed kinoma
Core ndo mazoezi gani hayo??
 
Hatuangalii X ili kujifunza staili bali porno inaamsha hisia na kusisimua misuli yan ni zaidi ya mundende,puturu na vumbi la Congo.Wewe kama unaangalia porno ili ujifunze staili za mapenzi imekula kwako.
 
1:mazoezi..especially ya core...na kegels(inasaidia stamina ya kiuno kisichoke...kegels exercise kufanya erection katika ubora wake)
2:kula vizuri:
3:kula mixer ya tangawizi,,vitunguu swaumu na asali

4:make money

Hii namba NNE muhimu zaidi maana kwa umri wetu sisi vijana ukiwa huna hela yote hapo juu huwezi kuyatekeleza kwa ufanisi maana unajua stressed kinoma
Watu wana stress na bado wanapiga show vizuri tu
 
Back
Top Bottom