Vijana tuungane tujiajiri

Vijana tuungane tujiajiri

Binafsi nimependa wazo lenu la kujiajiri

Mm nafanya biashara ya mchele kutoka KAHAMA to Dar, nitapenda endapo nitapata vijana wenzangu wajasiliamali hata wawili wenye mitaji ya atleast mill 2 au 3 tuungane

Pia naomba kupata mtu ambaye anaweza kutafuta masoko hapo Dar, mfano Hotels & Shule tuwe tunazisambazia mchele

Ambaye yuko tayari aweke no. ya simu nitamtafuta
kaka nko tayari kukutafutia masoko hapa dsm # 0654907899
 
hii project ni nzuri ikiwepo nia ya dhati na kuna namna mbili hapo! either kukodi mashamba na kulima or kununua mashambani na kupeleka ktk mkoa ambao bidhaa husika inatoka!
binafsi nina experience fulan! tutashauriana huko pm.
Lakin kuweni makini maana matapeli wengi siku hizi
 
Naam!

Haijarishi uko mkoa gani ,enyi vijana wenzangu ambao tuko mtaani ninaomba tujitokeze walau 10-20 tuunde group tujiajiri wenyewe na biashara ya nafaka ,ngombe ,viaz vya chps etc

Kama utakuwa interested na hii thread ni PM tujue jinsi ya kufanya majadiliano namna ya kujiajiri ,mtaji sio kikwazo, cha msingi ni uelewa na ujuzi wa biashara ambayo tutaifanya mkoa kwa mkoa..eg Mza to Dsm.
SAMAHANI KIDOGO MKUU,

VIPI HAKUNA MIRADI YA UDUFUAJI HAPA??
 
Binafsi nimependa wazo lenu la kujiajiri

Mm nafanya biashara ya mchele kutoka KAHAMA to Dar, nitapenda endapo nitapata vijana wenzangu wajasiliamali hata wawili wenye mitaji ya atleast mill 2 au 3 tuungane

Pia naomba kupata mtu ambaye anaweza kutafuta masoko hapo Dar, mfano Hotels & Shule tuwe tunazisambazia mchele

Ambaye yuko tayari aweke no. ya simu nitamtafuta
bro bado unafanya hii ishu...?
 
mm nipo mbeya nalima sana viaz na karot natafuta mtu ambaye yupo dar tufanye biashara hii lakin awe muaminifu kama huwa si muaminifu mtu kwenye pesa..ambaye tupo tayar ani pm lakin awe anajua hii biashara ya kuuza kiaz hapo mabibo.temeke au sehem yoyote dar
 
aise nimependa wazo lako mm pia nikijana naomba uweke namba yko nikucheki mida hi nakuomba
 
Mm napenda sna kilimo na ss naadaa kulima niko naishi dar ila Niko na shamba Moro nalima kilimo cha umwagiliaji karibuni vijana kujiajiri
Kama hautojali naomba unipm nahitaji msaada wako
 
Back
Top Bottom