Vijana tuungane tujiajiri

Vijana tuungane tujiajiri

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
724
Naam!

Haijarishi uko mkoa gani ,enyi vijana wenzangu ambao tuko mtaani ninaomba tujitokeze walau 10-20 tuunde group tujiajiri wenyewe na biashara ya nafaka ,ngombe ,viaz vya chps etc

Kama utakuwa interested na hii thread ni PM tujue jinsi ya kufanya majadiliano namna ya kujiajiri ,mtaji sio kikwazo, cha msingi ni uelewa na ujuzi wa biashara ambayo tutaifanya mkoa kwa mkoa..eg Mza to Dsm.
 
naam...

Haijarishi uko mkoa gani ,enyi vijana wenzangu ambao tuko mtaani ninaomba tujitokeze walau 10-20 tuunde group tujiajiri wenyewe na biashara ya nafaka ,ngombe ,viaz vya chps etc,kama utakuwa interested na hii thread ni PM tujue jinsi ya kufanya majadiliano namna ya kujiajiri ,mtaji sio kikwazo ,cha msing ni uelewa na ujuzi wa biashara ambayo tutaifanya mkoa kwa mkoa..eg Mza to Dsm ,

Ni pm ndg mi cjui.kupm napenda kujiunga na mm
 
Hilo jambo linawezekana sana na kama upo uwezekano huo,basi mi nipo tayari kutoa ushauri wa kijasiliamali kwasababu nimeizunguka sana TZ

tunahtaj mwongozo wako kdògo
 
Na mimi nuweke kwenye hiyo project..
Maana Kuna fursa nimeziona kuhusu mazao ya kilimo. My number +255 683 168 686
 
hii project ni nzuri ikiwepo nia ya dhati na kuna namna mbili hapo! either kukodi mashamba na kulima or kununua mashambani na kupeleka ktk mkoa ambao bidhaa husika inatoka!
binafsi nina experience fulan! tutashauriana huko pm.
 
Binafsi nimependa wazo lenu la kujiajiri

Mm nafanya biashara ya mchele kutoka KAHAMA to Dar, nitapenda endapo nitapata vijana wenzangu wajasiliamali hata wawili wenye mitaji ya atleast mill 2 au 3 tuungane

Pia naomba kupata mtu ambaye anaweza kutafuta masoko hapo Dar, mfano Hotels & Shule tuwe tunazisambazia mchele

Ambaye yuko tayari aweke no. ya simu nitamtafuta
 
Ni bonge la idea wakuu,

Tunamchukulia vipi kijana mwenzetu ambaye yupo tayari kujoin harakati ila hana capital?
 
Vp kwa mtu aliye ajiriwa na anapenda kujoin nanyi,akicontribute capital na kuhudhuria vikao + kuhusika kidogo katika utendaji inafaa?
 
Vp kwa mtu aliye ajiriwa na anapenda kujoin nanyi,akicontribute capital na kuhudhuria vikao + kuhusika kidogo katika utendaji inafaa?

unaruhusiwa mkuu
 
Mm napenda sna kilimo na ss naadaa kulima niko naishi dar ila Niko na shamba Moro nalima kilimo cha umwagiliaji karibuni vijana kujiajiri
 
Jamani hili wazo nimelipenda naweza kujoin maana na mimi nna plan za kufanya hii biashara japo nikikuwa sijui pakuanzia
 
Mm nataka walio mkoa wa mwanza ili tukutane na kujiajiri plz. nicheki 0756670104 kama mwanza
 
Back
Top Bottom