Kataa sheria za ndoa siyo ndoa, sheria zilizopo zinampendelea sana mwanamke na kumgandamiza mwanaume. Ndoa inamtofautisha binadamu na mnyama ambapo jike liko huru kupandwa na dume lolote na kuzaa hata na madume zaidi ya mmoja. Tatizo ni sheria za wazungu mabeberu ktk ndoa turudi ktk mila zetu au dini torati na Quran, ndoa zitakuwa salamA salmini, siyo sasa ndoa biashara.