Nina hoja ya msingi ambayo wengi tunasikiaga tu msukule ila hatujawahi kuona msukule
Je msukule upo kwelI, kuna watu wanachukuliwa misukule?
Je kama upo mtu akichukuliwa msukule anaweza akarudi? Mtu akichukuliwa msukule wanaweza kuzaliana?
Karibuni kutoa michango yenu
Mshana Jr na wengine wote
Eti Wakuu?
Mtu ndugu zake wameuliwa Oktoba 29, leo anakwambia mama anaupigwa mwingi, ni mwana demokrasia na mdiplomasia wa kweli!😂🤣
Maisha yanamchapa kweli kweli anaishia kutegemea afsaba saba za kuwa bot kwenys mtandao lakini anakwambia mama hana deni! Aaah huu uzwazwa unahitaji kufanyiwa PhD...
Kabla ya kuja kwa waarabu kuleta dini ya Kiislamu na wazungu kuleta Ukristo Tanzania, mababu zetu walikuwa wana mtazamo tofauti na wa hizi dini kuhusu maisha baada ya kifo.
Wao waliamini kuna misukule na mizimu. Waliamini kila kifo kina matokeo mawili. Kama mtu atakufa kikawaida, anageuka na...
Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo...
ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani...
Juzi kati nilisoma habari moja kuwa mama mmoja wa kambo huko ughaibuni alimfungia kijana wake wa miaka kumi na moja ndani kwa muda wa miaka 20. Kijana alikutwa akiwa na afya dhoofu kabisa. Mama amekamatwa na kushtakiwa.
Miaka ya 1800 mwishoni huko Ufaransa kulikuwa na msichana aliyeitwa...
Hamjamboni!
Kuna Misukule ya aina nyingi.
1. Kuna Misukule ya Imani
Hii ni Misukule ambayo waumini hutafuta pesa kwa Hali na Mali. Kwa jasho na damu na kwenda kupeleka Mali hizo kwa Mitume na Manabii WA mchongo. Wengine hupeleka kwa Waganga.
Ukitaka ujue mtu ni Msukule utampima kwenye Mzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.