Vijana tuache kuwa misukule ya wanasiasa

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,532
Reaction score
11,709
Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo...

ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani kama leo ataamka, pesa ndogo inataka kukuua aiseee
sativa17_-11-06-2025-0001.jpg

Mtu unapewa elfu20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo...

ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani kama leo ataamka, pesa ndogo inataka kukuua aiseee
View attachment 3364150View attachment 3364152
Alihakikishiwa usalama na uhakika.
 
INasikitisha sana. Kuna vijana wanajiingiza kwenye siasa ambazo zitawaletea shida huko mbeleni.

Waache kutumika.
 
Mtu unapewa elfu20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo...

ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani kama leo ataamka, pesa ndogo inataka kukuua aiseee
View attachment 3364150View attachment 3364152
Hapo ukimchunguza hiyo kijana yeye na familia yake ina maisha dhiki kabisa ila anajali njaa yake ya siku anasahau tanganyika inajengwa kwa ajili ya vizazi vijavyo
 
20 kubwa sana, uvfisiem ukiwadanganya utawaingiza serikalini wawe usalama wa taifa ukiwanunulia kisungura aka ambiance ya buku mbili na bange ya buku wanaweza kuchukua hatua Kali kwa yeyote
 
Ñaona JF wamefuta namba ya huyo kibaka niliyoweka WA uvccm 😂😂😂
 
Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo...

ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani kama leo ataamka, pesa ndogo inataka kukuua aiseee
 
Hapo ukimchunguza hiyo kijana yeye na familia yake ina maisha dhiki kabisa ila anajali njaa yake ya siku anasahau tanganyika inajengwa kwa ajili ya vizazi vijavyo
Maboss zao ndio wanafaid hawa NI kama vibaka Tu wanatumwa kama chambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom