Vijana tafuteni hela, acheni utani

Ukikata kujua mtu alikua maskini zamani na hakutegemea kutusua ktk maisha angalia show off zake ktk hela.....

Ndo ile walisema maskini akipata matako hulia mbwata mbwata....

Sasa hapo ngoja TRA wamfate aanzaje kujamba jamba au ngoja aumwe uone kama halijatembezwa bakuli kama yule Ruge Mutahaba
 
Mbona issue ndogo sana hiyo! Unakumbuka 50Cents alipotakiwa millions of dollars akatangaza kufilisika! Baada ya mahakama kukubaliana na hoja zake, akarudi Instagram aka-post zigo la madola! Walipomuibukia na kudai namna gani vp anatangaza kufilisika halafu anaonekana na madolari; akawaambia ni "Fake dollars, just for show off!"
We jidanganye tu hiyo ni mbele kuna kitu kinaitwa Chapter 7 na Chapter 11 ....Bongo kipo????

Huku umesahau ni kosa kukutwa na Fake au counter-fake papers(money)? Unadhani "Show Off" ni defense ya hilo kosa sio??
 
Tatizo unachanganya madesa! Chapter 7 na Chapter 11 kwa US zinahusiana na masuala ya bankrupcy and defense from insolvency! Issue ya Diamond ni ku-post pesa Instagram! Chapter 7 & Chapter 11 hazihusiani na hayo mambo!!!

Kwamba huku ni kosa kukutwa na counter-fake paper bills, hata USA ni kosa!! But the question is: Umemkuta na counter-fake bills au umeona ame-post paper bills anazodai ni fake?! Lakini pili, hata kama Tanzania ni kosa, una uhakika hizo counter-fake paper bills alikuwa anahesabu wakati yupo ardhi ya Tanzania ambako ni kosa?!

Hofu yangu inawezekana ikawa wewe ndie unajidanganya!
 
Ukikata kujua mtu alikua maskini zamani na hakutegemea kutusua ktk maisha angalia show off zake ktk hela.....

Ndo ile walisema maskini akipata matako hulia mbwata mbwata....

Sasa hapo ngoja TRA wamfate aanzaje kujamba jamba au ngoja aumwe uone kama halijatembezwa bakuli kama yule Ruge Mutahaba
Get Inspired or Hate>>> By Floyd Mayweather!
 
Vp kwani umekulia kwenye umaskini wa kutupwa nini hadi ukipata pesa unataka matako yale mbwata mbwata??

Relax,
Heri yako wewe uliyekulia familia ya kitajiri lakini unaonekana ku-mind mtu aki-post pesa aliyoipata kwa jasho lake mwenyewe na sio za kuzikuta as if kuna kitu anakupunguzia kutoka kwenye "utajiri" wenu!! Kuhusu mimi, sio tu nimekulia kwenye umaskini bali hata sasa ni maskini kweli kweli but I don't hate, and instead, I get insipired!!
 
Relax. Life has a lot to offer yet,
 
Back
Top Bottom