hance mtanashati

 1. Kisiwa Cha Harishi

  Bora Diamond wa Mbagala kuliko huyu wa Madale

  Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ WANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara. Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetamba kwa mafanikio anapita kwenye barabara ya kimuziki iliyochongwa na kuwekwa lami kwa...
 2. Slowly

  Vijana tafuteni hela, acheni utani

 3. princemikazo

  Zamaradi Mketema ndani ya Clouds360 on Clouds TV,February 21.

  Aliekua Mpenzi wa Ruge Mutahaba ambae pia ni mzazi mwenzake,Zamaradi Mketema ambae amewahi pia kuwa mtangazaji pale Clouds Media Group(CMG) katika kipindi cha Take One kilichokua kikiruka Clouds TV,February 21 atakua live kupitia Clouds360 na Powerbreakfast pia, kuanzia mishale ya Saa1asubuhi...
 4. princemikazo

  Mwili wa Michael Jackson kufukuliwa kaburini kwa uchunguzi

  Mwili wa aliyekuwa mfalme wa pop duniani,Michael Jackson huenda ukafukuliwa toka kaburini kwa uchunguzi kufuatia tuhuma za ulawiti, Mtandao wa Radar online umethibitisha kupitia filamu ya 'Leaving Neverland' imeelezwa kuwa Michael Jackson aliwahi kuwalawiti wavulana zaidi ya30 wenye umri...
 5. princemikazo

  Mbosso, Whozu na Marioo, hawa chalii watafika mbali sana

  Nikiwa nime chili knich knach maghetoni baada ya kumaliza mbanga za kuuza chai nyuma ya mic, nikawa naorodhesha baadhi ya Machalii waliofanya poa laana kunako mwaka 2018 fiade ya Bongofleva, List angu ilipata majina shazi lakini mojawapo ya majina niliweza kuwapata Wasanii ambao kama ni...
 6. princemikazo

  Clouds wapiga wimbo wa Mbosso kutoka wasafi

  "Hodari wa mapenzi ya Kwake Mbosso kutoka WCB Wasafi ndo imekua Burudani yetu ya kwanza ndani ya Jahazi la Clouds FM,Naitwa George Bantu niko na Empraim Kibonde pia Dj Too short utamsikia kwenye Mseto Perfect,Mdogomdogo mpaka saa1",,Ni sauti nzito kama uji ya George bantu iliskika akitambulisha...
Top Bottom