Vijana oeni wanawake wanaowapenda, pesa zako sio chochote ndani ya mapenzi na ndoa

Kumbe ubongo wako bado wa kitoto sana hivi Kwa akili Yako mwanamke anaweza kupenda mwanaume fukara endelea kubweteka ukisubiri upendwe tafuta pesa wewe

Baba yako ni Tajiri alipopendwa na Mama yako?
Ndio utajua kuwa Mimi na wewe Nani anaakili za kitoto.

Koo karibu zote TANZANIA NI fukara na zipo na ndoa alafu wewe unajifanya unaakili
 
Wenye akili matope hawatakuelewa , huwa tunaingia kichwa kichwa
 
ukweli usio na shaka
 


Mapenzi ukiwa na hela ni Mema sana na Muhimu, ila...

Hela ikiwepo mapenzi yanaweza kuwa developed....

MAPENZI bila hela hayatadumu kwenye sayari dunia, Mars kwa kweli sijui.
 
hata kitabu kitukufu quran kimeandika hii, ni upofu wetu na kujifanya mabazazi ndiko kunakofanya tutaabike na dunia. adduniya matau huwa laghibu wa lahwu......
 
Mimi nafikiri, kijana anapaswa aoe mke mwenye utii.
Kwa mtazamo wangu, mwanamke akiwa mtii huweza kukava kilakitu kwa uhitaji wa mwanaume.
Nionavyo mimi, mwanaume ndie anapaswa kumpenda mwanamke wake.
 
Taikoni uko sahihi ila watu watapinga. Mimi nimeshawahi kukutana na mademu kibao ambao wana watu wao wanaowapa kila kitu na kuwahudumia vibaya mno ila hao wanawake kwa muda wao binafsi huenda kukutana na wanaume wa mioyo yao. Mimi nilishawahi pia kupenda nisipopendwa nikachunwa balaa huku papuchi nikipewa kwa masharti makali. Kuna siku nilimnunulia demu nguo anazopenda ila jioni yake akazivaa na kwenda kutoka na mpenzi wa moyo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…