Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

Halafu watu wasikariri kutengeneza just simple apps unapokuwa software developer wewe upo for create solution to the valid society problems.

So u have to be flexible to use varieties of tools such as machine learning, cloud services, rest apis etc to create mobile or desktop application depend on ur approach to the problem u try to solve.
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nini sijui etc etc etc

Vijana wenzangu hizi technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubiri sana kwa mwekezaji kuweka hela... vijana wengi mnajikita kwenye biashara ngumu ngumu kiukweli niwambie hizo hazina helaaaa. Africa bado sana

Jikiteni kwenye mambo ya kawaida tu...usiumize kichwa snaa .. we unamwona Bakheresa au mo biashara zao... wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo etc etc.... buy and sell vitu rahisi rahisi tu ... sasa mtu unahangaika weee... daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo... nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwezi wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.

We jamaaa umeongea kweli sana..shida vyeti vijana wengi tunataka kuwa iwe lazima ufanye kitu kinachotokana na ulichosoma...aseehhh
 
Kwa akili kama hizi Waarabu kina Mo ndio watakuwa mabilionaire Milele daima.
we jamaaa umeongea kweli sana..shida vyeti vijana wengi tunataka kuwa iwe lazima ufanye kitu kinachotokana na ulichosoma...aseehhh
 
Usiwakatishe tamaa wenzio tunazinunua hizo app mi nina app ya kufungua geti na nimemuunga dogo na wateja wengine kumi anapiga hela.

Tengeneza app ya kumwagilia mpunga, tafuta soko kwa wakulima wa mpunga take trouble piga hela nunua gari honga uza app nyingine tena circle iendelee maisha yaende
Bora umenisaidia, Kwakweli sikutegemea kukuta utumbo nilioukuta
 
SaaS - Ni utumiaji wa software katika mfumo wa licencing

AI- Ni Utumiaji wa machine kufikiri kama binadamu

Robotics- Ni utumiaji wa robots katika kufanya shughuli mbalimbali zinazofanywa na viumbe hai either binadamu, mbwa nk

Autonomos- Ni vyombo vya usafiri zinazojiendesha zenyewe yaani ni magari ambayo yanayojiendesha yenyewe bila ya kuwa na dereva

Mobility as Service
Good explanation [emoji122]
 
There are so much to explore in software development industry for those who enjoy the art.

With this art we can renovate existing systems or created new products and make money either way. Its like in the music industry huwezi kusema nyimbo zote zimeshaimbwa.
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nini sijui etc etc etc

Vijana wenzangu hizi technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubiri sana kwa mwekezaji kuweka hela... vijana wengi mnajikita kwenye biashara ngumu ngumu kiukweli niwambie hizo hazina helaaaa. Africa bado sana

Jikiteni kwenye mambo ya kawaida tu...usiumize kichwa snaa .. we unamwona Bakheresa au mo biashara zao... wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo etc etc.... buy and sell vitu rahisi rahisi tu ... sasa mtu unahangaika weee... daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo... nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwezi wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.
Tengeneza app inayounganisha pisi Kali na madanga ,yaan unaboresha zaidi ya badoo....hapo utajiri fasta
 
Mtoa mada njoo weekend hapa Silicon Dar kuna mgahawa unaitwa Startup Restaurant nakuwa na wenzangu tukiDiscusa mawazo huku tukipiga Coding kukamilisha Apps zetu.

Tunakula ma Juice ya takeaway na ma pizza ya kutosha life la Tz lishakuwa kama marekani tu mbona unataka kujitesa.

Kariakoo= New York
Kigamboni= Miami Florida
Kijitonyama = Sanflansisco
Sinza = LosAngels
Posta = WallStreet

Utachagua unapenda nini wazee wa startup tumechagua kijironyama.
We jamaa una mambo mengi sijawahi kuona,vipi carwash inaendeleaje mkuu?
 
Aliewaambia Mo na Bakhresa hawaumizi vichwa ni nani? HAKUNA biashara rahisi!
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nini sijui etc etc etc

Vijana wenzangu hizi technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubiri sana kwa mwekezaji kuweka hela... vijana wengi mnajikita kwenye biashara ngumu ngumu kiukweli niwambie hizo hazina helaaaa. Africa bado sana

Jikiteni kwenye mambo ya kawaida tu...usiumize kichwa snaa .. we unamwona Bakheresa au mo biashara zao... wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo etc etc.... buy and sell vitu rahisi rahisi tu ... sasa mtu unahangaika weee... daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo... nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwezi wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nini sijui etc etc etc

Vijana wenzangu hizi technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubiri sana kwa mwekezaji kuweka hela... vijana wengi mnajikita kwenye biashara ngumu ngumu kiukweli niwambie hizo hazina helaaaa. Africa bado sana

Jikiteni kwenye mambo ya kawaida tu...usiumize kichwa snaa .. we unamwona Bakheresa au mo biashara zao... wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo etc etc.... buy and sell vitu rahisi rahisi tu ... sasa mtu unahangaika weee... daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo... nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwezi wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.
Ni kweli kabisa, ikiwa tu wanaodevelop app zinazohusu wanafunzi kujisomea wanahangaika kupata fund, ije kuwa ya kufungua mageti!

Ukiangalia michango ya baadhi ya wadau, wanadai hakuna wa kubadilisha hii isipokuwa sisi wenyewe ila kila kitu kina wakati wake

Ruge na fursa zake alikuwa anawaambia watu waanzie sokoni kutafuta wateja wanahitaji nini
 
Vijana msikubali huyu jamaa awakatishe tamaa. Facebook, twitter, whatsapp, na ma milioni ya ma technologia yalikuja kuwatajirisha wenyewe hadi kuwa matajiri wa ulimwengu. Muhimu tu ni ujipange na side hustle ya kukupa hela ya kujikimu ili usiishi maisha ya omba omba.
 
Back
Top Bottom