Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

Developers wa apps inabidi watambue wabongo wengi wananunua smartphones kwa ajiri ya sababu kuu mbili tu, 1) Entertainments na 2) Communications. Entertainment kwa maana watu wengi wanataka waweze kutumia social media platforms kiurahisi kama Instagram, facebook, youtube au twitter na maybe jamii forum, millardayo, na apps za udaku. Na communication kwa maana mtu aweze kuwasiliana na watu bure kwa maana ya whatsApp.

Na makampuni ya simu yameligundua hili mpaka kuamua kuleta simu za vitochi lakini zina whatsApp. Ukitengeneza apps nyingine yoyote nje ya sababu hizi inakua ngumu sana kupata downloads za kutosha unless uwe na mtaji mkubwa sana wa kufanya marketing and promotions na vilevile inahitaji uvumilivu wa hali ya juu.

Mimi naona inabidi developers washift kutoka kutengeneza apps kwa ajiri ya consumers yani B2C kwenda kutengeneza apps kwajiri ya makampuni yani B2B. Kwenye B2B binafsi naona ndio kuna opportunities nyingi zaidi na hakuitaji mtaji mkubwa sana kwenye marketing. Apps kama sarafu, sokowatch etc naona zinafanya vizuri sana hapa bongo.

Yani karibu industry zote hapa bongo zinaitaji disruptions za technology na innovations, industries kama logistics and transportation, educations, insurance, telecom etc, zote hizi zina opportunities nyingi sana. Uber wame disrupt transportation industry na wametoboa, kwahiyo developers waangalie watakavyoweza kudirupt industry nyingines au compete na uber tu.

At least umeongea kitu mkuu

Kinachowashinda wengi wala sio kwamba vitu wanavyotengeneza ni vibaya ila market bado ipo too traditional hivyo, kuja na kitu digital ni lazma industry iwe disrupted, pia consumer behaviour inatakiwa iwe centre of creation ila developers wengi hawana taarifa na maarifa sahihi ya soko. Mwisho wa siku wanatengeneza vitu visivyo katika demand

Hiyo pia haiondoi fact kuwa the future is promising ndio maana kwa sasa firms zinazofanya vitu digital zinaongezeka sana tofauti na miaka ya nyuma ambapo industry ilitawaliwa na foreigners au watanzania waliosoma nje au la wahindi

Pia sio lazma watu watengeneze apps alone maana hiyo ni sehemu ndogo katika portfolio ya hizo kampuni..

Hii ni kwa expirience ndogo niliyonayo nd i stand to be corrected
 
Nimepitia uzi neno kwa neno.....
Acha ninyamaze ...mdogo wangu yupo chuo..... Bachelor of science in Software engineering...... Ana Miaka 3mbele..... Sijuwi Kama huu uzi atauona apate abc
 
There's confusion here.

It takes some strategies for any idea to be successful.

The confusion is between relevant business ideas in this time Vs any existing business ideas.

To win in the market like those you have mentioned (Bakhresa), you don't need to start selling matches, flours, juices, etc.,

what worked for Bakhresa during his business startup around 70-80's doesn't guarantee to work the same for anybody in this time. Otherwise you'll end up owning juice and flour grocery.

business is strategy.

You can have a good business idea but poor solution approach and customer would not use your service or product.

lets say you managed to have good solution approach to your business idea, again, your solution may not be relevant to the problems facing people at this present time. I mean your idea is good but doesn't meet people's needs at the current time.

That young might have a good business idea but missing some business strategies.

Having
- business idea
- solution
- ready prototype

Still doesn't conclude that you'll win in a market.

What strategy you'll use for your service/product to cope with current time, competitors, reality of "kitaa", etc. There come an entrepreneurship.
 
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nin sjui etc etc etc

Vijana wenzangu hiz technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubir sana kwa mwekezaj kuweka hela..vijana weng mnajikita kwenye biashara ngum ngum.kiukwel niwambie hizo hazina helaaaa..africa bado sana

Jikiten kwenye mambo ya kawaida tuu..usiumize kichwa snaa ..we unamwona bakheresa au mo biashara zao...wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo.etc etc....buy and sell vitu rahisi rahisi tuu ..sasa mtu unahangaika weee..daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo..nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwez wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.
Mbona m- pesa imekuwa kubwa hapa hapa Afrika na ya multi billion dollar business kwa sasa, imeajiro mamilioni ta watu, imepenya mpaka bara Asia. inategemea na teknolojia.
 
Na ndomana tunafeli..kuruka hatua kunafanya watu wapike data ilimradi.kuruka hatua ndo kunaifanya africa kuwa maskin na tegemez..tunaruhusu mifumo ya dunia ya kwanza i apply africa mwisho wa siku tunachangamana hatuwez fanya lolote sabab kila kitu kinatoka huko kulikoendelea na sis tunabweteka..na ndomana hata inventions znakua ngum sabab kila kitu kiko mezan.ila tungejifungia mipaka na kutoruhusu mchangamano nakwambia sssa hvi tungeweza tengneza magar yetu.dawa zetu.ellimu zetu etc.wataalam wetu.ila sasa ndo hvo tunarukia hatua nyingne ambayo kwetu sis inakua fake sio natural ndomana hatupig hatua
China wangejifungia wangefika hapa.Cuba imewahi fungal tekn importation kulitikea janga kubwa japo waliweza Ku improvise lakini hawakuweza Ku innovate. Tech adaptation is not an easy game.People must crack brain which we African we fear.
 
Wajitokeze watengezeze chatting apps za kibongo
Itapendeza
 
mbona m- pesa imekuwa kubwa hapa hapa Afrika na ya multi billion dollar business kwa sasa, imeajiro mamilioni ta watu, imepenya mpaka bara Asia. inategemea na teknolojia.
Mkuu hzo wallet money zipo ulaya na marekan na asia kitambo tuu.ni copy and paste..mbona mnajarib kubadili manaa ya uzi kwmaba vijana wenu weng wanafanya irrelevant projects..
 
China wangejifungia wangefika hapa.Cuba imewahi fungal tekn importation kulitikea janga kubwa japo waliweza Ku improvise lakini hawakuweza Ku innovate. Tech adaptation is not an easy game.People must crack brain which we African we fear.
Haiondoi hoja na mantik ya uzi kwamba vijana weng wanafanya irrelevant projects..project zao hazishabihiani na mazingira.kama una akili utanielewa
 
Katika maisha ili ufanikiwe, kwanza lazima usolve matatizo ya watu, na unaposolve matatizo ya watu unarahisisha maisha.

Dunia nzima kila mtu angekuwa anawaza kwamba project za kiteknolojia hazilipi, au hata sisi waafrika tungewaza project za kiteknolojia hazina maana kwetu waafrika, leo hii tusingekuwa tunatoa mada na kuchangia hata JamiiForums.

Ukitaka kufika mbali katika jambo flani ambalo unaliamini usikubali kukatishwa tamaa kwa kuangalia jamii inasemaje.

Watu matajiri duniani mimi nimeona wamefanikiwa kwa kupitia njia mbili
1. Kwa kufanya Biashara.
2. Kwa kugundua mambo mbalimbali ya kiteknolojia.
Yote haya yanasolve matatizo yaliyoko kwenye jamii.

Waafrika tunatakiwa tubadili mitazamo yetu, sio kila kitu tunasema hatuwezi tuwaachie whites, kwani wao walianzaje sisi tusiweze.

Mwisho kabisa nimalizie kwa kusema, fanya kitu ambacho unakiamini. Hivyo wa kufanya biashara afanye, wa kudeal na project adeal nazo. Sisi kama jamii bado kuna changamoto nyingi zinshitaji kutatuliwa hivyo tupambane kuzitatua kwa hali na mali na kwa njia yeyote ile.

Mifano mingi ipo kwenye jamii. Mifano ya faida kupitia biashara au faida kupitia gunduzi mbalimbali za kitekinolojia
 
Kunywa soda mkuu..... nikija ntalipa
 
Wajikite kwenye teknolojia ya kupata masoko kwa haraka zaidi,hapo mafanikio yapo
 
Startup restaurant ipo maeneo gani hapo K'nyama?
Mtoa mada njoo weekend hapa Silicon Dar kuna mgahawa unaitwa Startup Restaurant nakuwa na wenzangu tukiDiscusa mawazo huku tukipiga Coding kukamilisha Apps zetu.

Tunakula ma Juice ya takeaway na ma pizza ya kutosha life la Tz lishakuwa kama marekani tu mbona unataka kujitesa.

Kariakoo= New York
Kigamboni= Miami Florida
Kijitonyama = Sanflansisco
Sinza = LosAngels
Posta = WallStreet

Utachagua unapenda nini wazee wa startup tumechagua kijironyama.
 
Kutokana na uchunguzi wangu wa miaka mitano hivi. Nimekuja kujua iron and steel industry ni jibu tosha ya maendeleo Africa ndio maana huwezi kuta Mzungu kachimba chuma afrika kwasababu anajua hapo ndipo mtego wamaendeleo ulipo.
Mfano mdogo Andrew Carnegie.
 
Developers wa apps inabidi watambue wabongo wengi wananunua smartphones kwa ajiri ya sababu kuu mbili tu, 1) Entertainments na 2) Communications. Entertainment kwa maana watu wengi wanataka waweze kutumia social media platforms kiurahisi kama Instagram, facebook, youtube au twitter na maybe jamii forum, millardayo, na apps za udaku. Na communication kwa maana mtu aweze kuwasiliana na watu bure kwa maana ya whatsApp.

Na makampuni ya simu yameligundua hili mpaka kuamua kuleta simu za vitochi lakini zina whatsApp. Ukitengeneza apps nyingine yoyote nje ya sababu hizi inakua ngumu sana kupata downloads za kutosha unless uwe na mtaji mkubwa sana wa kufanya marketing and promotions na vilevile inahitaji uvumilivu wa hali ya juu.

Mimi naona inabidi developers washift kutoka kutengeneza apps kwa ajiri ya consumers yani B2C kwenda kutengeneza apps kwajiri ya makampuni yani B2B. Kwenye B2B binafsi naona ndio kuna opportunities nyingi zaidi na hakuitaji mtaji mkubwa sana kwenye marketing. Apps kama sarafu, sokowatch etc naona zinafanya vizuri sana hapa bongo.

Yani karibu industry zote hapa bongo zinaitaji disruptions za technology na innovations, industries kama logistics and transportation, educations, insurance, telecom etc, zote hizi zina opportunities nyingi sana. Uber wame disrupt transportation industry na wametoboa, kwahiyo developers waangalie watakavyoweza kudirupt industry nyingines au compete na uber tu.
Umezungumza jambo la msingi sana kiongozi.
 
Kabla ya ku develop project, kwanza wajiridhishe haipo tayari online kama free software.

Unaweza kutumia muda mwingi kutengeneza kitu, halafu unakuta kipo kingine bora kuliko chako, tena cha bure.
Utafutaji wa taarifa sahihi nahisi ndio tatizo.
 
Utafutaji wa taarifa sahihi nahisi ndio tatizo.
Tatizo linatokea wapi wakati karibu kila kitu kipo online?

Kuna tatizo la kupata access ya mtandao, kujua kutafuta taarifa, lugha au lipi?
 
Back
Top Bottom