Vijana msipoteze muda kwenye project zenu za kiteknolojia

I was afraid it was going to be "all of the above".

Lakini mitandao mbona mpaka kwenye simu ipo siku hizi?
Kufahamu mtandao upi ni sahihi kwa hitaji lako na je taarifa zilizopo ndani ya huo mtandao ni sahihi?
Nimeliona hilo tatizo kwa wengi.
 
Point ya nguvu sana.

Ijumaa kuna mtu ambaye nilikuwa namuona mjuzi sana, alinifuata, akaniuliza mtandao gani unafaa kuanza kujifunza Linux?

Nikawa nimeshangaa kidogo, kwa sababu alitakiwa awe anajua haya mambo sana, na pengine angeweza ku Google.

Lakini nikamuheshimu unyenyekevu wake kujishusha na kuuliza.

Nikamwambia a download different Linux distributions kutoka www.distrowatch.com

Halafu a install kwenye old laptops na kujifunza kwa vitendo ku troubleshoot networking issues, command line solutions, real world problems kama backup, file sharing, firewall setup, security, resources monitoring, SNMP, etc.

Akanishukuru sana.

Sikutegemea.

Na huyo jamaa yupo katikati ya bahari ya teknolojia.

Hapo kuna ujasiri wa kuuliza bila kuogopa kuonekana hujui vitu vya msingi (the guy is so senior, yet so humble) halafu pia kuna kuwa na access na ku acknowledge watu wanaojua waliokuzunguka na hata kwenye mitandao.
 
Shida ni kwamba technology inavyotoka wanaoanza kufaidika nayo ni watu wahuko ilikutokea. Mfano huwezi teng'eneza app playstore ambayo haina mbadala wake. Yaani unakuta app za aina hiyo zinauza kwanza za U.S.A, then nchi za watu wa asili ya ulaya zinafwata hafu, then nchi za asia. Ko unakuta mpaka weusi tusanukie mchongo market inakua saturated.

Hafu kingine hakuna kiwanda cha hardware chakutengeneza semiconductors amabazo zitatengenezewa vifaa ambavyo vitatengenezewa app. Mfano hp wanatengeneza hp smart kwa ajili kwa ajili ya printer zao.

Hapo kwenye playstore mfano mzuri ni kutengeneza app ya art and design ya kushindana na "canva"au "picsart"
 
Hafu kingine hizo ishu ni high technologies zinatokea baada ya technologies ndogo kufanyika kwanza. Hafu ninajua wengi tupo katika utumwa wa mawazo tunapona wakina bill gate, mark Zuckerberg wanakua matajiri wanakua matajiri kwa kuwa maprogrammer tunadhani.

Kuwa nijambo la kucode tu nakuwa tajiri tumesahau kuwa hizi ni stages za maendeleo. Kuna stage nguo ilikuwa deal, kunakipindi "iron" na "coal" zilikuwa ni deal. Kunakipindi magari yalikuwa deal hivyo vyote vilitengeneza matajiri zaidi ya Hawa wa leo.

Ko kwa marekani maswala ya high tech ni wakati wao huu. Sisi huku tunapunyanga tu watumwa wakila kitu hatuelewi tuanze wapi?
 
Ukitaka kujua nchi ipo katika stage gani? Angalia tajiri wa kwanza sehemu husika ana deal na Nini? Ndo utajua kuwa vijana tujikite wapi au tuangalie stage inayofuatwa.
U don't have to look at that if u are a real entrepreneur, watch best African tech like mpesa ilivyo msaada kwenye jamii...young entrepreneur of Africa should focus to solve the real problem that face their society...
 
Jamani vijana tuache kuwa vichwa vigumu tusitake kupiga msauzi kwenye nyumba ya udongo. Hata wachina walirudi shambani kwanza. Na Hizo tech kubwa Zina maeneo yake kwa huko mbele. Sehemu Kama silicon valley ndio maarufu kwa hi-tech ndio maana vijana wengi wa ulaya Kama waanzilishi wa udemy walihamia huko ili kuwa katika sehemu sahihi hata Facebook pia. Na silicon valley ilianza kuja juu just baada ya kampuni ya Intel kuzalisha semiconductor za kiwango Cha juu ambayo ilianzishwa na Bob noyce na akaitwa mayor of silicon valley. Kwa nyie mnayejiita wa silicon dar semiconductor zenu mnatengenezea wapi? Tuache kuigaiga mambo ya watu. Na pia jamaa kani quote kasema unasolve problems Sasa sijuwi matatzo gani mnayasovo maana matitizo ya ulimwengu wa watatu ni umaskini, njaa, elimu duni miundombinu mibovu. Sasa umesema mpesa ni moja kwa kumi jamani we hujifunzi kwa jumuia. Mdaa tunao tumia kwenye high tech tukilipikiza kwenye mambo yanayo tuhusu tutatoa chanya sana
 
Hii jamiiforum ingekuwa sillicon valley ingekuwa mara Mia ya hapa. Ndio ujue mazingira yana matter
 
Jamani vijana tuache kuwa vichwa vigumu tusitake kupiga msauzi kwenye nyumba ya udongo. Hata wachina walirudi shambani kwanza. Na Hizo tech kubwa Zina maeneo yake kwa huko mbele. Sehemu Kama silicon valley ndio maarufu kwa hi-tech ndio maana vijana wengi wa ulaya Kama waanzilishi wa udemy walihamia huko ili kuwa katika sehemu sahihi hata Facebook pia. Na silicon valley ilianza kuja juu just baada ya kampuni ya Intel kuzalisha semiconductor za kiwango Cha juu ambayo ilianzishwa na Bob noyce na akaitwa mayor of silicon valley. Kwa nyie mnayejiita wa silicon dar semiconductor zenu mnatengenezea wapi? Tuache kuigaiga mambo ya watu. Na pia jamaa kani quote kasema unasolve problems Sasa sijuwi matatzo gani mnayasovo maana matitizo ya ulimwengu wa watatu ni umaskini, njaa, elimu duni miundombinu mibovu. Sasa umesema mpesa ni moja kwa kumi jamani we hujifunzi kwa jumuia. Mdaa tunao tumia kwenye high tech tukilipikiza kwenye mambo yanayo tuhusu tutatoa chanya sana
We have different eye in see opportunities so cool of and do what u do best.
 
Sijui kama unaelewa ulichoandika..
Kuna wimbi kubwa la vijana wanahangaika ni kudevelope ma idea ya project kubwa kubwa za kidigitali na ki technolojia mfano.

1. Sijui app ya alarm sjui ya nyumbani ukiwa kazini mtu akifungua mlango unapata notification.

2. Mara program ya visima vya maji umwagiliaji.

3. Mara program ya nin sjui etc etc etc

Vijana wenzangu hiz technolojia na the likes kwa nchi kama yetu hii utasubir sana kwa mwekezaj kuweka hela..vijana weng mnajikita kwenye biashara ngum ngum.kiukwel niwambie hizo hazina helaaaa..africa bado sana

Jikiten kwenye mambo ya kawaida tuu..usiumize kichwa snaa ..we unamwona bakheresa au mo biashara zao...wanauza viberiti, unga, juice etc

Nenda Kariakoo uone matajiri wafanyabiashara wanafanya nini wanauza vitu vya kawaida kabisa.

Kilimo.etc etc....buy and sell vitu rahisi rahisi tuu ..sasa mtu unahangaika weee..daah.

Kilichofanya niandike uzi ni kwamba nina ndugu yangu anamaliza chuo..nimemwambia anipe mchanganuo wa biashara nimpe mtaji yaani unaenda mwez wa sita huu ananipa michanganuo ya ajabu ajabu hadi nauliza amerogwa nini.
 
Japokuwa nilifika Oakland ambapo wenyewe wanasema sio silicon Valley lakini kukaa kwangu kwa muda mchache nilijua vingi kuhusiana na silicon valley since ni 17 Km from Bay Area

Ishue ni kwamba Silicon Valley inakimbia mnooo kiteknolojia maana yake ni kwamba Investors wa silicon valley they invest in high end tech aisee kitu ambacho startup nyingi za kibongo ni startups ambazo zilikuwa zinakuwa invested in 2008 huko ten years back

Kutengeneza app then uende silicon valley uwe funded imekula kwako investors wanawekeza kwenye the following sector

Iaas, SaaS, Maas, AI, Robotics, Autonomous, Na sasa kuna kitu kipya kinaitwa Mobility as a service

Vijana wengi wa Silicon Dar wanachokosea ni kupitch kwa silicon valley investors wakati wanatakiwa wa pitch kwa investors wa maeneo mengine

Kingine ni kwamba hakuna Startup Ecosystem nzuri na hapa ni kazi ya Serikali sasa , Serikali inatakiwa ikodi jengo moja pale Kijitonyama, kuwe na Incubators, accelerators ikaribishe VC wa Scandinavian ambao ndio wanaopenda kuwekeza Africa wawe na ofisi pale kwa sababu investors wengi wanapenda kuwekeza kwenye kampuni ambazo akiendesha gari kwanzia ofisini kwake hadi kwenye HQ ya startup aliyowekeza ni dakika 10 so bongo hakuna VC

Of which hii ni dili kubwa kwa Taasisi za kifedha ambazo kuna bank hapa nchini zinatakiwa zibadilike kuwa VC na sio banks anymore mfano I&M bank and First housing bank

Technology ni sekta ambayo kuna ombwe kubwa sana Africa na ndio maana makampuni ya teknolojia ya Marekani yanapenetrate sana Africa mfano mzuri angalia Instagram, WhatsApp, TikTok, Netflix, Uber, na kadhalika

Africa tumekuja na version ya Netflix inaitwa showmax na inafanya vizuri tu

Africa tumekuja na version ya Spotify boomplay inafanya vizuri tu etc

Mfano sasa hivi baada ya Corona Uber wamejifungia Chicago zaidi ya watu 1,000 watengeneze coding ya Uber Works yaani fleelancer app na watu wanaisubiri law sababu aftermath ya Corona ni ajira nyingi zimepotea

Ngoja nikupe mfano mwingine Southeast Asia wao baada ya uber kuanzishwa 2008 wao Indonesia wakaanzisha Gojek na Singapore wakaanzisha Grab unajua thamani ya hayo makampuni now??

Cha msingi ni kuangalia 2020 Marekani wameanzisha nini, then wewe anzisha the same thing kwa Africa trust me in no time utatusua tu ila cha kufanya ni hiki

Kampuni yako ianzishe Marekani then your mode of operation iwe ni B2B yaani utoe solutions kwa Africa companies na sio kwa B2C itakula kwako

Idea mojawapo ambapo mtu akianzisha atapiga hela sana ni kuanzishwa kwa Chatbot yaani Customer Management platform kwa makampuni ya Africa

Sajili kampuni Africa na Marekani

Developers wako wawe kwenye ofisi ya Marekani

Africa iwe ni Sales office kwa nchi zifuatazo South Africa, Kenya, Tanzania, Nigeria, Morocco, Tunisia, Algeria, Egypt, Mauritius, Angola, Namibia, Ghana, na Ethiopia

Then niambie kama usipokuwa billionaire
Shida ni kwamba technology inavyotoka wanaoanza kufaidika nayo ni watu wahuko ilikutokea. Mfano huwezi teng'eneza app playstore ambayo haina mbadala wake. Yaani unakuta app za aina hiyo zinauza kwanza za U.S.A, then nchi za watu wa asili ya ulaya zinafwata hafu, then nchi za asia. Ko unakuta mpaka weusi tusanukie mchongo market inakua saturated.

Hafu kingine hakuna kiwanda cha hardware chakutengeneza semiconductors amabazo zitatengenezewa vifaa ambavyo vitatengenezewa app. Mfano hp wanatengeneza hp smart kwa ajili kwa ajili ya printer zao.

Hapo kwenye playstore mfano mzuri ni kutengeneza app ya art and design ya kushindana na "canva"au "picsart"
 
Japokuwa nilifika Oakland ambapo wenyewe wanasema sio silicon Valley lakini kukaa kwangu kwa muda mchache nilijua vingi kuhusiana na silicon valley since ni 17 Km from Bay Area

Ishue ni kwamba Silicon Valley inakimbia mnooo kiteknolojia maana yake ni kwamba Investors wa silicon valley they invest in high end tech aisee kitu ambacho startup nyingi za kibongo ni startups ambazo zilikuwa zinakuwa invested in 2008 huko ten years back

Kutengeneza app then uende silicon valley uwe funded imekula kwako investors wanawekeza kwenye the following sector

Iaas, SaaS, Maas, AI, Robotics, Autonomous, Na sasa kuna kitu kipya kinaitwa Mobility as a service

Vijana wengi wa Silicon Dar wanachokosea ni kupitch kwa silicon valley investors wakati wanatakiwa wa pitch kwa investors wa maeneo mengine

Kingine ni kwamba hakuna Startup Ecosystem nzuri na hapa ni kazi ya Serikali sasa , Serikali inatakiwa ikodi jengo moja pale Kijitonyama, kuwe na Incubators, accelerators ikaribishe VC wa Scandinavian ambao ndio wanaopenda kuwekeza Africa wawe na ofisi pale kwa sababu investors wengi wanapenda kuwekeza kwenye kampuni ambazo akiendesha gari kwanzia ofisini kwake hadi kwenye HQ ya startup aliyowekeza ni dakika 10 so bongo hakuna VC

Of which hii ni dili kubwa kwa Taasisi za kifedha ambazo kuna bank hapa nchini zinatakiwa zibadilike kuwa VC na sio banks anymore mfano I&M bank and First housing bank

Technology ni sekta ambayo kuna ombwe kubwa sana Africa na ndio maana makampuni ya teknolojia ya Marekani yanapenetrate sana Africa mfano mzuri angalia Instagram, WhatsApp, TikTok, Netflix, Uber, na kadhalika

Africa tumekuja na version ya Netflix inaitwa showmax na inafanya vizuri tu

Africa tumekuja na version ya Spotify boomplay inafanya vizuri tu etc

Mfano sasa hivi baada ya Corona Uber wamejifungia Chicago zaidi ya watu 1,000 watengeneze coding ya Uber Works yaani fleelancer app na watu wanaisubiri law sababu aftermath ya Corona ni ajira nyingi zimepotea

Ngoja nikupe mfano mwingine Southeast Asia wao baada ya uber kuanzishwa 2008 wao Indonesia wakaanzisha Gojek na Singapore wakaanzisha Grab unajua thamani ya hayo makampuni now??

Cha msingi ni kuangalia 2020 Marekani wameanzisha nini, then wewe anzisha the same thing kwa Africa trust me in no time utatusua tu ila cha kufanya ni hiki

Kampuni yako ianzishe Marekani then your mode of operation iwe ni B2B yaani utoe solutions kwa Africa companies na sio kwa B2C itakula kwako

Idea mojawapo ambapo mtu akianzisha atapiga hela sana ni kuanzishwa kwa Chatbot yaani Customer Management platform kwa makampuni ya Africa

Sajili kampuni Africa na Marekani

Developers wako wawe kwenye ofisi ya Marekani

Africa iwe ni Sales office kwa nchi zifuatazo South Africa, Kenya, Tanzania, Nigeria, Morocco, Tunisia, Algeria, Egypt, Mauritius, Angola, Namibia, Ghana, na Ethiopia

Then niambie kama usipokuwa billionaire
People pia wajue even in silicon valley there are number of failed startups for a single successful one we hear about...No single successful founders have witness to have easier path to get were they are...So this is entrepreneurship u must have steel heart and great determination to chew that glass for breakfast... Waiting for perfect perfect environment to execute ur idea is not the attribute of successful entrepreneur.
 
Uko Informed sana wewe jamaa.

Uko well informed sana Mkuu, ukiendelea hivi utatoboa mbali sana.

Hemu elezea hizi telnolojia

Uko sahihi kabisa

SaaS - Ni utumiaji wa software katika mfumo wa licencing

AI- Ni Utumiaji wa machine kufikiri kama binadamu

Robotics- Ni utumiaji wa robots katika kufanya shughuli mbalimbali zinazofanywa na viumbe hai either binadamu, mbwa nk

Autonomos- Ni vyombo vya usafiri zinazojiendesha zenyewe yaani ni magari ambayo yanayojiendesha yenyewe bila ya kuwa na dereva

Mobility as Service
 
Back
Top Bottom